Siro atia Neno kuhusu Ndoa.

Siro atia Neno kuhusu Ndoa.

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
“Kuua mke ni ushamba mkubwa kwani kuoa ni mkataba kati ya mume na mke na kama mke ameamua kuingiza njemba (mwanamume) ndani ya nyumba wakati mume hayupo, huko ni kuvunja mkataba na dawa yake ni kuvunja mkataba kwa kumwacha na si kumuua.”- Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro.
 
me nachinja mke na huyo mbuzi mwenzake.
Ha hahaa! Mnagawana majengo ya serikali... Alafu unaenda kule kufungwa maisha unakosa opportunity ya kula papuchi. Si bora umuache uvute kifaa kingine? Kwani wanawake wamekwisha?
 
Hii ya mwanamke kuingiza njemba ndani ya nyumba yangu niliyojenga kwa jasho langu inauma sana . Biblia imeandikwa kuna wakati wa kula , kucheka , kuhuzunika , kulia , kufanya kazi na hata wakati wa kuua . Kwa hili nachukua hicho kipengele cha mwisho ili aende huko ahera kwani huko kuna wanawake wenge atakaochagua kwa raha zake
 
Back
Top Bottom