Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
uliyosema ni kweli na nishayaexperience juzjuz tuu nilipofanya biashara fulani,mtu aliyenisaidia mara ya kwanza kwenda kuchukua mzigo na nikaja kuuza town alishindwa kupokea simu zangu nilipotaka niende kwa round ya pili,nadhani aliona namuongezea competition,anyway namshukuru kwa kunihelp ile round ya kwanza nilijifunza mengi.Hakuna kitu nafurahi kama kumsaidia mtu na kumuelekeza hasa kama anataka kukopi nilikopitia ili nae apate walaupo ugali. Ntamuonesha na kumuelekeza njia zote kuanzia mtaji gharama na matumizi na jinsi ya kuwasiliana na wakatisha tamaa.
Kuna jamaa mmoja alikuwa anaenda China kuchukua Vito na kuja kuuza bongo. Dada mmoja alikuwa mteja wake akatamani biashara za China akamaliza yule kaka nae akampa maelezo na njia zote. Kumbe dada anajipanga akakufanya mtaji masoko ila yeye alikuwa aende kununua vitu vingine tofauti na vito ili aje kuuza. Walikuwa liana waondoke pamoja ili jamaa kwakuwa yeye nj mzoefu akamuoneshe mitaa ya kununua vitu kwa bei rahisi dada anajigharamia kila kitu.
Hee...siku ya siku kwanini jamaa asimtoroke bidada.... bidada kwakuwa alitia nia kwenda kujaribu biashara alipata watu wengine wakamulekeza lakini ndo alikuwa anasafiri mwenyewe. Akaondoa woga akaenda akarudi, kule hakupata shida maana akikutana na mtu akamsaidia na akawa rafiki yake. Ofcourse alikuwa wa jinsia ya kiume.
Aligundua ugumu wa biashara za China na wengi wao walikuwa wanafanya kwa madili ili wapate faida vinginevyo hasara.
Si wafanyabiashara wote watakwambia siri zote za biashara wengine hawajiamini wanahisi utawaibia wateja nao watakosa kuuza.
Wengine hawataki kukueleza ukweli kuwa wanapata faida wakakukatia tamaa ili usijefanikiwa kama wao. Wengine wanakudanganya biashara ipo na inalipa ili uingie kichwa kichwa upo tele mtaji wako kama wao walivyopoteza kwa mara ya kwanza....
Wengi ni wafitini. ....
Anyways ngoja waje watiririke...
Hakuna kitu nafurahi kama kumsaidia mtu na kumuelekeza hasa kama anataka kukopi nilikopitia ili nae apate walaupo ugali. Ntamuonesha na kumuelekeza njia zote kuanzia mtaji gharama na matumizi na jinsi ya kuwasiliana na wakatisha tamaa.
Kuna jamaa mmoja alikuwa anaenda China kuchukua Vito na kuja kuuza bongo. Dada mmoja alikuwa mteja wake akatamani biashara za China akamaliza yule kaka nae akampa maelezo na njia zote. Kumbe dada anajipanga akakufanya mtaji masoko ila yeye alikuwa aende kununua vitu vingine tofauti na vito ili aje kuuza. Walikuwa liana waondoke pamoja ili jamaa kwakuwa yeye nj mzoefu akamuoneshe mitaa ya kununua vitu kwa bei rahisi dada anajigharamia kila kitu.
Hee...siku ya siku kwanini jamaa asimtoroke bidada.... bidada kwakuwa alitia nia kwenda kujaribu biashara alipata watu wengine wakamulekeza lakini ndo alikuwa anasafiri mwenyewe. Akaondoa woga akaenda akarudi, kule hakupata shida maana akikutana na mtu akamsaidia na akawa rafiki yake. Ofcourse alikuwa wa jinsia ya kiume.
Aligundua ugumu wa biashara za China na wengi wao walikuwa wanafanya kwa madili ili wapate faida vinginevyo hasara.
Si wafanyabiashara wote watakwambia siri zote za biashara wengine hawajiamini wanahisi utawaibia wateja nao watakosa kuuza.
Wengine hawataki kukueleza ukweli kuwa wanapata faida wakakukatia tamaa ili usijefanikiwa kama wao. Wengine wanakudanganya biashara ipo na inalipa ili uingie kichwa kichwa upo tele mtaji wako kama wao walivyopoteza kwa mara ya kwanza....
Wengi ni wafitini. ....
Anyways ngoja waje watiririke...
Ni kweli kabisa mdada,Hakuna kitu nafurahi kama kumsaidia mtu na kumuelekeza hasa kama anataka kukopi nilikopitia ili nae apate walaupo ugali. Ntamuonesha na kumuelekeza njia zote kuanzia mtaji gharama na matumizi na jinsi ya kuwasiliana na wakatisha tamaa.
Kuna jamaa mmoja alikuwa anaenda China kuchukua Vito na kuja kuuza bongo. Dada mmoja alikuwa mteja wake akatamani biashara za China akamaliza yule kaka nae akampa maelezo na njia zote. Kumbe dada anajipanga akakufanya mtaji masoko ila yeye alikuwa aende kununua vitu vingine tofauti na vito ili aje kuuza. Walikuwa liana waondoke pamoja ili jamaa kwakuwa yeye nj mzoefu akamuoneshe mitaa ya kununua vitu kwa bei rahisi dada anajigharamia kila kitu.
Hee...siku ya siku kwanini jamaa asimtoroke bidada.... bidada kwakuwa alitia nia kwenda kujaribu biashara alipata watu wengine wakamulekeza lakini ndo alikuwa anasafiri mwenyewe. Akaondoa woga akaenda akarudi, kule hakupata shida maana akikutana na mtu akamsaidia na akawa rafiki yake. Ofcourse alikuwa wa jinsia ya kiume.
Aligundua ugumu wa biashara za China na wengi wao walikuwa wanafanya kwa madili ili wapate faida vinginevyo hasara.
Si wafanyabiashara wote watakwambia siri zote za biashara wengine hawajiamini wanahisi utawaibia wateja nao watakosa kuuza.
Wengine hawataki kukueleza ukweli kuwa wanapata faida wakakukatia tamaa ili usijefanikiwa kama wao. Wengine wanakudanganya biashara ipo na inalipa ili uingie kichwa kichwa upo tele mtaji wako kama wao walivyopoteza kwa mara ya kwanza....
Wengi ni wafitini. ....
Anyways ngoja waje watiririke...
thank you, kassie...for the roadmapHakuna kitu nafurahi kama kumsaidia mtu na kumuelekeza hasa kama anataka kukopi nilikopitia ili nae apate walaupo ugali. Ntamuonesha na kumuelekeza njia zote kuanzia mtaji gharama na matumizi na jinsi ya kuwasiliana na wakatisha tamaa.
Kuna jamaa mmoja alikuwa anaenda China kuchukua Vito na kuja kuuza bongo. Dada mmoja alikuwa mteja wake akatamani biashara za China akamaliza yule kaka nae akampa maelezo na njia zote. Kumbe dada anajipanga akakufanya mtaji masoko ila yeye alikuwa aende kununua vitu vingine tofauti na vito ili aje kuuza. Walikuwa liana waondoke pamoja ili jamaa kwakuwa yeye nj mzoefu akamuoneshe mitaa ya kununua vitu kwa bei rahisi dada anajigharamia kila kitu.
Hee...siku ya siku kwanini jamaa asimtoroke bidada.... bidada kwakuwa alitia nia kwenda kujaribu biashara alipata watu wengine wakamulekeza lakini ndo alikuwa anasafiri mwenyewe. Akaondoa woga akaenda akarudi, kule hakupata shida maana akikutana na mtu akamsaidia na akawa rafiki yake. Ofcourse alikuwa wa jinsia ya kiume.
Aligundua ugumu wa biashara za China na wengi wao walikuwa wanafanya kwa madili ili wapate faida vinginevyo hasara.
Si wafanyabiashara wote watakwambia siri zote za biashara wengine hawajiamini wanahisi utawaibia wateja nao watakosa kuuza.
Wengine hawataki kukueleza ukweli kuwa wanapata faida wakakukatia tamaa ili usijefanikiwa kama wao. Wengine wanakudanganya biashara ipo na inalipa ili uingie kichwa kichwa upo tele mtaji wako kama wao walivyopoteza kwa mara ya kwanza....
Wengi ni wafitini. ....
Anyways ngoja waje watiririke...
Bora uanze kivyako ili upate uzoefu wako mwenyewe. Sio kila utakachoambiwa kitafanikiwa kwako.
Sawa kabisa. Mwisho wa siku utalaumu mtu kakuingiza chaka. Fanya utafiti wako kabla ya kuingia kwenye biashara yoyote.
Ni kweli kabisa maana ni wachache sana wanaofurahia kufanikiwa kwa mtu.Ni kweli kabisa mdada,