Katoto?lakini kanawatoa machozi.
Si nyau 2 hapa ni tembo mpaka maji mtu anaomba
Ukirudi njoo na maji tafadhari nataka nifanye majaribio
Unajisifa mwenyewe?? Unacheza wewe ngoja utolewe 10 - NIL ndo utajua habari yake
hujambo mama?
Sijambo my dear me miss wewe siku nyingi kweli
nipo mrembo lkn wakati mwingine nabanwa kiaina,umeshajitetea kule kwa kakakiiza?mcd u lots