Siri yakumaliza ugomvi ndani ya mahusiano.

Mara paap anakuonyesha pale kati anapoishi bakari jicho moja kada wa fisiemu kama mtoa mada anavyotueleza bado hautamsamehe ?
 
Mara paap anakuonyesha pale kati anapoishi bakari jicho moja kada wa fisiemu kama mtoa mada anavyotueleza bado hautamsamehe ?

Bila kupuuza kero za awali nakushusha hasira, utaona anakudhihaki na si ajabu ukafura zaidi.

Kujishusha na kusamehe kutakufanya uone na kuthamini uwepo wake.
 
Usaliti hutokana na kufunga benki mapema
 
Wadada wa siku Izi Ukimuonyesha Dushe uku Kafura, Achelewi kukudhiaki ICHO KIBAMIA CHAKO UNAMUONYESHA NANI/ NITOLEE KIBAMIA CHAKO HAPA

Hapo lazima uibuke ugomvi mwingine yaani ugomvi juu ya Ugomvi.
 
Tatizo, ke wa sasa wanaona k kama fimbo ya kumchapia mwanaume bila kujua k zipo nyingi tena za cheap.

Lakini pia inategemeana na chanzo cha ugomvi wenu. Mfano chanzo kikiwa usaliti, kuelewana siyo rahisi. Hata angevua nguo zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…