Siri ya wingi wa baiskeli Tanga mjini

Siri ya wingi wa baiskeli Tanga mjini

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Wasambaa /Wazigua /Wabondei ni watu wa ajabu sana!

Tanga Mjini baiskeli ni nyingi kuliko watu. Mpaka zinasimama kwenye mapitio ya waenda kwa mguu yaani 'Zebra'. Baiskeli zinakuwa foleni nyuma na katikati ya magari na zinaheshimika mno.

Baiskeli za Tanga Mjini zimeshonewa kiti cha abiria kama bodaboda.

Tuje kwenye siri ya wingi wa baiskeli Tanga:

Tanga Mjini ni sehemu ndogo yenye watu wengi na nyumba zilizokaribu karibu sana. Mji wa Tanga una barabara 21. Ukiwa na baiskeli unafika mapema kuliko mtu wa gari ama pikipiki. Njia za uchochoro no nyingi sana. Njia kuu ni ndefu.

Utawapenda tu!
 
Tanga sasa hivi inakua. Stendi ya mabasi makubwa sasa hivi iko kuleee mbali. Zamani ilikuwa pale pale city center.
 
Wasambaa /Wazigua /Wabondei ni watu wa ajabu sana!

Tanga Mjini baiskeli ni nyingi kuliko watu. Mpaka zinasimama kwenye mapitio ya waenda kwa mguu yaani 'Zebra'. Baiskeli zinakuwa foleni nyuma na katikati ya magari na zinaheshimika mno.

Baiskeli za Tanga Mjini zimeshonewa kiti cha abiria kama bodaboda.

Tuje kwenye siri ya wingi wa baiskeli Tanga:

Tanga Mjini ni sehemu ndogo yenye watu wengi na nyumba zilizokaribu karibu sana. Mji wa Tanga una barabara 21. Ukiwa na baiskeli unafika mapema kuliko mtu wa gari ama pikipiki. Njia za uchochoro no nyingi sana. Njia kuu ni ndefu.

Utawapenda tu!
Tanga Morogoro Musoma kila mtu ndani ya familia ana baiskeli! dar kuna mibaba mizima hata haijui kuendesha baiskeli
 
Hii ni indicator ya umaskini tusijidanganye
 
Wasambaa /Wazigua /Wabondei ni watu wa ajabu sana!

Tanga Mjini baiskeli ni nyingi kuliko watu. Mpaka zinasimama kwenye mapitio ya waenda kwa mguu yaani 'Zebra'. Baiskeli zinakuwa foleni nyuma na katikati ya magari na zinaheshimika mno.

Baiskeli za Tanga Mjini zimeshonewa kiti cha abiria kama bodaboda.

Tuje kwenye siri ya wingi wa baiskeli Tanga:

Tanga Mjini ni sehemu ndogo yenye watu wengi na nyumba zilizokaribu karibu sana. Mji wa Tanga una barabara 21. Ukiwa na baiskeli unafika mapema kuliko mtu wa gari ama pikipiki. Njia za uchochoro no nyingi sana. Njia kuu ni ndefu.

Utawapenda tu!
Tanga haiwezi kuizidi Shinyanga kwa wingi wa baiskeli wewe.....
 
Uwe na adabu na makabila ya watu, axha dharau....huwezi kuwatusi wakwe zangu kisha nikae kimya. zumbemkuu Chakaza MANI
Mkuu, hongera sana kwa kuvuta jiko from Tanga.
Naambiwa Tanga raha sana, hasa ukipata bibi kutoka Mkoani Tanga.
Nikasimuliwa wamama wale si haba kwa mapishi, makatiko na hata maji ya kuoga wamama wa Tanga huyatia viungo...
 
Wasambaa /Wazigua /Wabondei ni watu wa ajabu sana!

Tanga Mjini baiskeli ni nyingi kuliko watu. Mpaka zinasimama kwenye mapitio ya waenda kwa mguu yaani 'Zebra'. Baiskeli zinakuwa foleni nyuma na katikati ya magari na zinaheshimika mno.

Baiskeli za Tanga Mjini zimeshonewa kiti cha abiria kama bodaboda.

Tuje kwenye siri ya wingi wa baiskeli Tanga:

Tanga Mjini ni sehemu ndogo yenye watu wengi na nyumba zilizokaribu karibu sana. Mji wa Tanga una barabara 21. Ukiwa na baiskeli unafika mapema kuliko mtu wa gari ama pikipiki. Njia za uchochoro no nyingi sana. Njia kuu ni ndefu.

Utawapenda tu!
Huwa wanabeba nazo abiria kama bodaboda
 
Back
Top Bottom