Siri ya utajiri tanzania katika karne hii mpya ni hii hapa.

nyaronga

Member
Nov 18, 2010
13
1
asilimia 80 ya watanzania wapo vijijini kwa kuwa hata asilimia kubwa ya sehemu ya nchi bado ni vijiji, tuna uwakika wa kulima na kuuza mazao ndani na nje ya nchi, kilimo kwanza ndiyo sera sahihi ya kutupatia ajira na kumkomboa masikini,( kwa mujibu wa uchunguzi wa kisayansi, hatuna njia nyingine, tukitaka kuwa matajiri, ni kulima na kufungua viwanda vya kuprocess tunavyolima, hatuitaJI mwekezaji kUTOka nje, aje atulimie, ili haya yafanyike then yafuatayo yazingatiwe.

1. TUPELEKE WATU SHULE PALE SUA - WAPIGWE MSASA WA UWAKIKA- WAWE NA MBINU, TECHNOLOGY, SCIENCE NA UJUZI, SIO KUKURUPUKA TU, NA SUA ITUAKIKISHIE WANAUWEZO HUO. SIO KILA SIKU PANYA PANYA ( SOMA - AGRIBUSINESS)

2. CONTROL FOOD IMPORTATION ( KUWA MAKINI NA FREE MARKET FORCES).

3. TOA MIKOPO KWA VIJANA WALIOANDALIWA KUFANYA MAPINDUZI YA KILIMO( KWA KUWA NA MAKAMPUNI YA KILIMO).

4. TOA MSAMAA WA KODI KWENYE VITENDEA KAZI VYA KILIMO KUTOKA NJE.

5. KUWA NA BODY YA KUSIMAMIA KILIMO BORA.

6. PELEKA MABENKI NA FEDHA MASHAMBANI NA VJIJINI.

7. WATANZANIA WAMILIKI MASHAMBA NA WAYAENDESHE KWA FAIDA, HAO TUNAOWAITA WAWEKEZAJI NI MIKATILI BALAA, HAWANA LOLOTE ZURI KWA MAENDELEO YA TANZANIA, WANATAKA YA KWAO TUU.

HII NDIYO SIRI KUBWA YA KILA MTANZANIA KUWA TAJIRI TANZANIA, HAMNA SHORT CUT.
 
Unavyosema peleka unaashiria nani? serikali au? kosa watakalo lifanya serikali ni kujaribu kufanya kila kitu!. Serikali inatakiwa kujenga barabara, weka maji, umeme, shule na vitu vingine vyote Watanzania wenyewe watafanya. Tanzania hata haya maendeleo madogo tunayoyaona hayatokani na serikali bali watu binafsi. Serikali ya tanzania ni kikwazo kikubwa cha uchumi wa nchi yetu.
 
asilimia 80 ya watanzania wapo vijijini kwa kuwa hata asilimia kubwa ya sehemu ya nchi bado ni vijiji, tuna uwakika wa kulima na kuuza mazao ndani na nje ya nchi, kilimo kwanza ndiyo sera sahihi ya kutupatia ajira na kumkomboa masikini,( kwa mujibu wa uchunguzi wa kisayansi, hatuna njia nyingine, tukitaka kuwa matajiri, ni kulima na kufungua viwanda vya kuprocess tunavyolima, hatuitaJI mwekezaji kUTOka nje, aje atulimie, ili haya yafanyike then yafuatayo yazingatiwe.

1. TUPELEKE WATU SHULE PALE SUA - WAPIGWE MSASA WA UWAKIKA- WAWE NA MBINU, TECHNOLOGY, SCIENCE NA UJUZI, SIO KUKURUPUKA TU, NA SUA ITUAKIKISHIE WANAUWEZO HUO. SIO KILA SIKU PANYA PANYA ( SOMA - AGRIBUSINESS)

2. CONTROL FOOD IMPORTATION ( KUWA MAKINI NA FREE MARKET FORCES).

3. TOA MIKOPO KWA VIJANA WALIOANDALIWA KUFANYA MAPINDUZI YA KILIMO( KWA KUWA NA MAKAMPUNI YA KILIMO).

4. TOA MSAMAA WA KODI KWENYE VITENDEA KAZI VYA KILIMO KUTOKA NJE.

5. KUWA NA BODY YA KUSIMAMIA KILIMO BORA.

6. PELEKA MABENKI NA FEDHA MASHAMBANI NA VJIJINI.

7. WATANZANIA WAMILIKI MASHAMBA NA WAYAENDESHE KWA FAIDA, HAO TUNAOWAITA WAWEKEZAJI NI MIKATILI BALAA, HAWANA LOLOTE ZURI KWA MAENDELEO YA TANZANIA, WANATAKA YA KWAO TUU.

HII NDIYO SIRI KUBWA YA KILA MTANZANIA KUWA TAJIRI TANZANIA, HAMNA SHORT CUT.

Lakini bado tunahitaji mvua ya uhakika toka Thailand.
 
Back
Top Bottom