nelson salema
Member
- Mar 18, 2016
- 74
- 19
Safi sana mwalimu,waambie haoHawaelewi hayo, wanachojua mtoto akikanyaga tu shule ni kazi ya mwalimu kuanzia tabia hadi kufaulu.
Ovyo sana
Walimu wa miaka hii hovyo kabisa! Mfano mtoto yuko boarding mzazi atahusika vp? Walimu timizeni wajibu wenu. Ama kweli siku hz hakuna walimu, bali kuna magenge ya wahuni wanaotafuta liziki kupitia ualimu. Ebo! Unamhusisha mzazi kwenye ufaulu wa mtoto!
Maendeleo Hayana ChamaSafi sana mwalimu,waambie hao
Kwa hiyo mtoto wa Boarding Huwa harudi likizo? Au Mtoto wa Boarding anaanza shule akiwa na miaka 0 mpaka we ukose muda wa kumfunza tabia njema.Watoto wanaofanya vizuri familia zao pia Huwa zinachangia Kwa kiasi fulaniWalimu wa miaka hii hovyo kabisa! Mfano mtoto yuko boarding mzazi atahusika vp? Walimu timizeni wajibu wenu. Ama kweli siku hz hakuna walimu, bali kuna magenge ya wahuni wanaotafuta liziki kupitia ualimu. Ebo! Unamhusisha mzazi kwenye ufaulu wa mtoto!
hapo kwa mzazi.. nimepaelewa sanaSiri ya mwanafunzi kufanya vizuri shuleni:
1.Mzazi mfunze adabu njema.
2.Mzazi fuatilia kila mwenendo wamwanao.
3.Mzazi tambua ufaulu wa mwanafunzi ni mambo 3. Mwanafunzi anayejitambua,Mzazi na Mwalimu.
4. Mzazi kubali kugharamika kwa ajili ya mwanao.Kama utaona ni gharama utasubiri sana.
5. Amini fahari ya mwalimu ni mwanafunzi kufanya vizuri.
KOSA UKIWASIKILIZA WALE KUWA WATABANA FULANI ATI MWANAO AFAULU SI KWELI. MAFANIKIO YA MWANAO YAKO KWAKO KWANZA.
MZAZI NI MWALIMU WA KWANZA.
Kwa hyo mwanao anafundishwa na genge LA wahuni? Ufaulu wa mtoto unaanza na mzazi we pimbi.Walimu wa miaka hii hovyo kabisa! Mfano mtoto yuko boarding mzazi atahusika vp? Walimu timizeni wajibu wenu. Ama kweli siku hz hakuna walimu, bali kuna magenge ya wahuni wanaotafuta liziki kupitia ualimu. Ebo! Unamhusisha mzazi kwenye ufaulu wa mtoto!
Usipite tuu tuwasaidie wajue. Kuna kiki zinzowazulia walimu kuwa chanzo cha ufaulu kidunchuMimi Napita Tu!
Duh sio Kungwi ni Mwalimu tuuSawa kungwi
Ugangaaa!?Facts
SexlessWalimu wa miaka hii hovyo kabisa! Mfano mtoto yuko boarding mzazi atahusika vp? Walimu timizeni wajibu wenu. Ama kweli siku hz hakuna walimu, bali kuna magenge ya wahuni wanaotafuta liziki kupitia ualimu. Ebo! Unamhusisha mzazi kwenye ufaulu wa mtoto!