Siri ya mtungi

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,073
Reaction score
34,844




Fikra pekee inayomsumbua Kizito ni jinsi atakavyoweza kumwoa Nusura, binti mrembo wa mmiliki wa mabanda, Masharubu. Mjomba Mawazo ana wakati mgumu wa kujadiliana na Masharubu mwenye tamaa ambaye yuko tayari kumwozesha binti yake kwa mahari kubwa mno.

Cheche bado inamuwia vigumu kuweka uwiano kati ya biashara yake na familia, na muda wa Cheusi unapotezwa kwa kuwaangalia watoto wake wawili watundu na mimba yake. Cheche anapata faraja kwa Tula kwenye Kigrosari chake, huku baadae studio yake 'ikisambaratishwa' na shangingi linalojiita Lulu linapovamia toka kusikojulikana na kudai apatiwe







Haya tena vitu vipya hivyo kama mtaipenda nitaiendeleza kama hamjaipenda sitaiendeleza mnasemaje wakuu wenzangu? mumeipenda hii hadithi?
 
Last edited by a moderator:
Haya Endelea Siri ya Mtungi Sehemu ya 4 (Episode 4 with English Subtitles)



 
Last edited by a moderator:
Siri ya Mtungi Sehemu ya 5



Siri ya Mtungi Sehemu ya 6 itaendelea baadae .....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…