Pole mkuu ndio mioango hiyo ishakutokea sasa ufanyejeMapenzi ya karne hii muda mwingine si ya kuingia na miguu yote miwili, mmoja nje moja ndani. "Hizi baby i love you too, i love you too" usivimbe kichwa na kuamini asilimia mia. Siri ya mtu, ipo moyoni.
#RaiaMwema
I agree with you dudeKawaida tu mkuu, nowadays kuna commodity relationship
Usiwaze man, nyakati zipo kasi sanaPole mkuu ndio mioango hiyo ishakutokea sasa ufanyeje
Sikupingi, ila kuna waigizaji wazuri aisee usiombeSiri ipo ndani ya moyo wa mtu lakini kama wewe ni mpenzi wako unaweza kujua mwenzio anawaza nn
Dah mkuu sijajua kwa nn siku hizi kumekuwa na makanjanja wa mapenziSikupingi, ila kuna waigizaji wazuri aisee usiombe
Kama kumpiga teke churaHilo lililokukuta nalo litapita
Fact!Wanawake wanapenda wanaume wakorofu ila inaonyesha wewe ni mtu wa ndiyo baby, sawa baby lazima ugongwe moyo ukae sawa