PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Usijali, changamoto za hapa na palePole mkuu
ShkamooThread ya [emoji174]
Trust nobody mkuu
Usiwaze mzee babapole kwa yaliyokusibu mzee baba
Unataka kuninyima nini na hiyo shikamoo?😁Shkamoo
Nimekumiss, sijui unaendaga wapi.Unataka kuninyima nini na hiyo shikamoo?[emoji16]
Missed you more mkuuNimekumiss, sijui unaendaga wapi.
Wanawake wanapenda wanaume wakorofu ila inaonyesha wewe ni mtu wa ndiyo baby, sawa baby lazima ugongwe moyo ukae sawaMapenzi ya karne hii muda mwingine si ya kuingia na miguu yote miwili, mmoja nje moja ndani. "Hizi baby i love you too, i love you too" usivimbe kichwa na kuamini asilimia mia. Siri ya mtu, ipo moyoni.
#RaiaMwema
Pole ya nini unampaPole mkuu
Invalid conclusion.Wanawake wanapenda wanaume wakorofu ila inaonyesha wewe ni mtu wa ndiyo baby, sawa baby lazima ugongwe moyo ukae sawa
Usiwaze manP0LE KWA YALIYOKUKUTA
KabisaPole ndio ukubwa huo.
Usiwaze manP0LE KWA YALIYOKUKUTA
unasaidiwa halafu unasema invalid conclusion. Fuata huo ushauri kama unataka ndoa yako idumu.Invalid conclusion.