Siri ya matokeo ya uchaguzi wa marudio Zanzibar

ILAN RAMON

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
9,619
4,406
Siri ya Matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar yaja juu;

Kwa mujibu wa moja ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi zanzibar
○ ZEC jina tunalihifadhi kwa usalama wake anasema kuwa idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa marudio visiwani humo ni
●58,732 hii ni sawa na asilimia
●10% tu ya wapiga kura wote waliojiandikisha 2015..
Na katika kura hizo
● Dr shein alipata kura
●48,175. (hii ni aibu kwa dr.shein)

Ishu ikawa je tutamtangazaje shein kuwa mshindi kwa kura elfu 48?..
Katika mjadala huo na ndipo mwenyekiti wa ZEC
jecha akataka kupewa muda awasiliane na Dr shein baada ya dakika 18 alirejea na kusema kuwa ameshauliana na dr.shein kuwa ZEC wafanye liwezekanalo lakini shein asipate kura chini ya
● laki 2 (hii inaitwa kupanga matokeo ya mechi).

Baada ya hapo mwenyekiti wa tume jecha akawaita maafisa watatu wa tume na kwenda nao chemba na kukaa huko kwa takribani
●saa 1 na walivyorudi kwenye kikao walirudi na kura za shein
●●299,982 ambazo hazikujulikana zilitoka wapi..Na jecha akasisitiza kuwa kwa kilichofanyika pale kiwe siri sana...

Hapa Kazi TU
 
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA
 
Wewe ni mtunzi mzuri wa ngano za kale...endeleza hicho kipaji kitakutoa
 
Niliandika humu mapema kabla ya uchaguzi kwamba jumla ya kura zitakazopigwa katika uchaguzi wa marudio hazitafika laki moja na kwamba hata kati ya hizo zitakazopigwa nyingi zitapigwa na mamluki watakaosombwa kutoka bara. Wengi wao wangeelekezwa waipigie CCM na wachache CUF, na hivyo ndivyo ilivyopangwa na ilivyokuwa.
 
kwanza ushangae kosa hilo ni la aina gani la msimamizi kutangaza jina la mgombea wa UPDP badala la CCM?. Tena kura zenyewe 221 tu. na ukumbuke mawakala wa CCM walisaini.
 
Back
Top Bottom