Achana na kijarida " ALNUUR" kitazidi Kuku spoil, usiwe biased kiasi hicho, jibu kila hoja kadri inavyokuja, siyo kila terrorist ametengenezwa na Amerika au west, internal funding na support kwa terrorist organizations ni kibwa ndani ya Islam world, tazama jinsi uturuki ilivyo kimbilio LA ISIS na funding conduit.napenda tujadili kwa hoja as great thinkers. na sio kwa maneno ya kitoto kama vile tupo fb! shame on you! kama uislam ni tatizo sema kwa reference na kama uislam una support terrorism onyesha ushahidi ili uelimishwe ...pitia blog hii. "what do they say about Muslim" pia ikiwa upo tayari kutanua fikra zako ili kuondokana na mawazo mgando ya kujisemea with no reference jitahidi kila ijumaa kununua gazeti la "Annuur" wale jamaa wanachambua vizuri mno masuala ya ugaidi unavyohusishwa na uislam...
nb: NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK... pia ujinga wako usizidi busara zako...
Kila thread itakayohusu uislam au waislam lazima matusi yawepo kwa wingi.Je matusi ni mpango wa wamarekani kuchafua uislamu?
Kwa tanzania kesi nyingi waislamu ndio wahusika wakuu.Nenda mahakama za mwanzo kasikilize kesi za mirathi.Je ni mfumo kristo au wamarekani wanahusika?
Waliotakiwa kuwa njia ya mfano (mashehe),ndio wanaongoza kuhubiri uchochezi dhidi ya ukristo.sasa hivi wamehama kutoka kwenye mihadhara barabaran wako kwnye tv na radio za dini.je wamarekani wanahusikaje hapa?
Wimbi la kukamatwa masheik na wengine kuuawa na watu wasiojulikana limeshika kasi duniani hususani tanzania ikiwa hivi juzi kukamatwa kwa sheikh MADUGA wa morogoro maarufu katika kipindi cha mwangaza kwa jamii radio imaan.Tujiulize Kwanini Nchi Zenye Lasilimari Ambazo Haikupewa Uwekezaji Marekani Ndio Huwa Na Fujo Kupitia Mgongo Wa Waislam Katika Nchi Husika Basi Vitina Hizi Zinatengenezwa Na Mmarekani Ili Kujinufaisha Kiuchumi Kwa Kutumia Mtaji Mdogo Wa Wanajeshi Wake Kwa Kujifanya Anakuja Kulinda Amani Kumbe Anakuja Kuchukua Mali Ambazo Zitakua Hazina Mwangalizi Kwani Serikali Itakua Bize Na Wanaoleta Fujo Hilihali Wao Wanachukua Mali.Mbinu Hii Ya Kukamata Masheikh Na Kuwaua Ndio Iliyotumika Nigeria Kutengeneza Kundi Feki La Bokoharam Ambalo Athali Yake Ni Kuiyumbisha Serikali Ya Nigeria Hivyohivyo Kwa Isis Iraq Mambo Yashaanza Hapa Tz Wanakamata Masheikh Wakati Huo Hao Waalibifu Katika Mgongo Wa Ardhi Marekani Washaunda Kundi Ambalo Litaonekana Linapigana Kuwatetea Masheikh Au Kulipiza Kisasi Cha Kuuawa Au Kwa Kukatwa Kwa Masheilkh Wetu Hili Jambo Linatakiwa Liangaliwe Kwa Macho Matatu Kwani Nchi Hii Muda Si Mrefu Itaingia Katika Machafuko Kwani Viashiria Vikuu Vishajitokeza ~MAWAZO HAYAPIGWI RUNGU mwenye masikio na asikie
Angalia hata hapa bongo mafanikio ya waislamu kutoka kwa wafanyabiashara wa kawaida hadi mabilionea you will get the answer ya mungu wa kweli otherwise utaendelea kujidanganya na propaganda za wazungu huku unapotea.

Kiswahili kimeshuka sana, yaani hawawezi kutenganisha R na L, A na H au tamkiwa neno lenye GH ukiwa karibu unaweza kupoteza fahamu looh
...basi tuseme uislam unachafuliwa na waislam wenyewe, kwa mifano uliyoitoa ya IS boko haram, al shabab etc, mi nina video za waislam nyingi zinazohamasisha machafuko, tena misikitini, na kama utahitaji naomba kwa kauli yako uniruhusu nizipost kwenye huu uzi
Bestialityuongo ulimponza yule shetani mpaka akagongelewa msalabani.
Na wewe utakuja tu kwako
Boko haramu ni makafiri km wewe mkuu.
Wanakula nguruwe km wewe na wanabaka km wanavyobaka mapadri makanisani.
No different what so ever.
Wana chinja kama kuku na kuonyesha hadharani, pia wanateka watoto wa kike, wanaoa hata watoto wadogo, zana za kivita misikitini????wanapinga elimu ..vituko kibao. Hata majibu yao humu yanaonyesha jinsi walivyo, matusi, vitisho .....Pia kuna wakristo wa aina hii.
Shetani bwana, anatapatapa ndani ya wengi tu. Ila mwisho wake ni mbaya. Eti wanasingizia Amerika, Israel ni uongo mtupu.
Mimi nawajua Waislamu na Wakristo wazuri sana, na misikiti pia makanisa mazuri wana maadili. Ila maboko haramu na wenzao ni mashetani wakubwa sana.Humu pia kuna watu wa aina hii wa kusupport maovu, chuki, fujo....wako wanashabikia wakiwa ndani ya dini mfano kikristo au kiislamu au hana dini, fujo tuuuuuuu wana foka mapovu...