Nguzo 'zangu' 5 za mafaniko:
1. Awali, kumtanguliza Mwenyezimungu mbele.
2. Thubuti
3. Fanya kazi kwa bidii na kujituma.-
4. Subira (be patient)
5. Fungua blog na tangaza huduma au bidhaa yako.
Changamkia fursa ya kufungua blog utangaze huduma/ bidhaa zako. Google blog ni bure na kwa muda mfupi ukijitangaza wadau wengi ndani na nje ya nchi watakutambua. Binafs namshukuru sn Mwenyezimungu, ktk kipindi kifupi tu nimefanikiwa sana.
C'mon -psych up! Act now!!
Asante.-