hulijui ulisemalo mkubwa ongea kama mtu uliekamilika kiakili na kimawazo , rudi shuleni kwanza inaoneka hako kaelimu hakajakutoa gizani bado au uliunga unga vyeti{{{{{ ZZZZZZZZzzzzzzzzzzzzz}}}}}huu ni uchochezi wa wazi usio na maana.kule udom mliwahamasisha ma dent wakafanya fujo siku ya mwisho mkazima simu mlipoona maji yamefika shingoni.hakuna jamii inayoweza kuishi bila sheria kufuatwa,kabla ya kumlaumu mtu yeyote tuangalie kwanza makosa ya wanafunzi,tusikurupuke na matamko yasiyo na kichwa hapa.huyo heche hana jipya atumie muda huu kukijenga chama badala ya kuhadaa wananchi kwenye vyombo vya habari.
wewe sijui akili umepeleka wapi au umekurupuka!
ngoja nikupe hii
Chuo cha St Joseph wanafunzi hawajapewa pesa ya kujikimu kwa muda wa wiki 5 sasa bila maelezo yanayoeleweka. Unajua wanaishije?
1. Mabinti wanajiuza/kujirahisi wapate hela ya matumizi
2. Wamefukuzwa hostel kwa kushindwa kulipa
3. Wapo wanaopitisha siku bila kula
etc
na kesho wamepanga kugoma kuingia darasani na kuandamana. Unadhani hapo nani hana nidhamu kati ya serikali na wanafunzi?
ungejisikiaje kusikia dada yako / mwanao wa kike anajiuza/ kujirahisi Dsm ili apate hela ya matumizi?
AMKA ACHA UJINGA, UNADHANI NANI ANAPENDA FUJO?!
Home of Great Thinkers! Ur too biased dear friends, why dont you look things impartially. Wanafunzi hao walistahili adhabu waliyoipata na bado ile ya mahakama ya kuharibu mali za chuo kwa makusudi. Uchunguzi ukikamilika na wale wa Muhimbili nao chali, haiwezekani daktari afanye fujo tena kwa kurusha mawe kwa wazee achilia mbali viongozi wa serikali halali iliyopo madarakani halafu waachiwe tu! hakuna mfumo wa kipiumbavu namna hiyo mahali popote pale duniani. Naunga mkono hoja.
huu ni uchochezi wa wazi usio na maana.kule udom mliwahamasisha ma dent wakafanya fujo siku ya mwisho mkazima simu mlipoona maji yamefika shingoni.hakuna jamii inayoweza kuishi bila sheria kufuatwa,kabla ya kumlaumu mtu yeyote tuangalie kwanza makosa ya wanafunzi,tusikurupuke na matamko yasiyo na kichwa hapa.huyo heche hana jipya atumie muda huu kukijenga chama badala ya kuhadaa wananchi kwenye vyombo vya habari.
Udom ni 511 wote wamepewa tarehe wanahojiwa. MmojaSasa anawasaidiaje hao waliofukuzwa? maana pale Udom mpaka sasa zaidi ya madent 400 hawajarudi chuo tangu june na hii ilitokana na wao kuwajaza ujinga.Kukaa mbele ya vyombo vya habari na kusema haoitoshi.Muungwana ni vitendo bana!!