Kudo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 1,821
- 6,122
Walio wengi watakubaliana Mimi kuwa hivi sasa biashara ya ukahaba inashamiri sana kuliko umalaya na ndoa kiujumla,waeza jiuliza kwanini ukahaba na malaya jibu ni hivi:
Umalaya au kuwa ni malaya ni pale mwanamke au mwanaume anapokuwa na idadi kubwa ya watu anakuwa nao kimahusiano kwa wakati mmoja kwa lugha rahisi anakuwa na namba kubwa ya wanaume au wanawake ambao hajaachana nao,
Lakini Kahaba ni yule mtu anaeuza mahusiano yakingono au kununua ngono haijarishi mwanamke au mwanaume japo katika tafsiri za waliowengi malaya au kahaba ni kwa wanawake tu na wanaume ni wahuni,hapana uhuni ni kwa mtu ambae matendo yake ni Ajabu mbele za watu tena hadharani,mfano kivuta bangi,kula unga,wizi,pombe,lugha chafu nk.Na matendo yote haya yawe kwa mtu mmoja au yafanywe na mtu mmoja huyo tutamwita muhuni.
Narudi kwenye Mada sasa.
kipindi cha hivi karibuni wanawake wengi wamejikuta wakiingia kwenye kundi la Ukahaba kwa kujua au kotokujua(nimetumia wanawake tu coz tuliowengi tunaamini ukahaba kwa wanawake na si Kwa wanaume)
Kama nilivyosema mwanzo ukahaba ni pale unapokiwa tayari kuuza ngono kwa mtu ili alipe nawe unufaike,basi wadada wengi hivi sasa wapo kwenye kundi hili,imefikia hatua ambayo mwanaume kama hajiwezi kifedha basi huyo si kitu tena maana hana uwezo wa kununua utamu aliopewa na muumba.Lakini so ajabu mwanamke huyu ukisikia anawasema makahaba wale wa kupanga foleni ambao kiuhalisia wao ni makahaba waliokatika kundi poa au tuwaite madada poa wao hujiuuza kwa makakapoa wenye kipato kidogo cha kukidhi haja zao.
Ukahaba huu umejikuta ukizalisha kundi jingine la michepuko kwa waliokwenye ndoa maana wanaume ugonjwa wetu ni wanawake wazuri grade za juu kabisa,basi akipita pale komakoma anachetua kidogo kisha anarudi home akijilaumu why amenunua wakati anamke ndani basi kwa mawazo hayo na tayari ashatumika kwa mkewe hana jipya anakotoma tu Mama anajikanda kwa maji ya moto,jiulize ahsubuh akiguswa kwa bahati Mbaya hapanui tonkito?
Lakini kundi hili La madada poa linazidi kukua kila kukicha na kundi la ukahaba linapungua maana makahaba wao wanabadilisha mabwana au waume za watu huwa hawawazi ndoa kwa wakati huo anajali ahongwe gari nyumba nk.
Sasa hili kundi linaongezeka vipi au linapungua vipi coz hivi sasa wanaume wengi uchumi ni kutafuta kwa Nguvu na halali ili kipato kiwe sawa zile nyumba ndogo zimejikuta hazina kitu na madanga yote yamesepa,afanyeje sasa nae anajikuta yupo pale Papichulo akiuza buku tano tu.lakini hili kundi la makahaba au madada poa ni hatari zaidi kwenye ndoa coz wamejikuta wakiwa wepesi wa kuzungushwa kinyume na maumbile tena kwa bei chee kabisa jambo ambalo wanandoa wengi hawafanyi,wakiogopa au kujiwekea heshima maana watu husema mengi kuhusu hilo jambo,mara oooh wakati wa kuzaa utapata tabu n.k....basi kusikia hivyo wengi hujikuta wanakimbilia kwa madada poa ili atimize haja zake(mlaaniwe mnaofanya hivyo)...
Lakini kwa utafiti wangu mdogo wanaume wengi wakifika kwa madada poa huwa wanaishiwa pozi au huwa hawajiamini kabisa na hapo huwapa ujasiri madada poa kupanga bei watakavyo,hapa hata yule mwanaume katili kabisa ila akimfuata kahaba wa kundi hili huwa na hofu jambo ambalo linamrahisishia Kazi na kumfanya awe na uwezo wa kukutana na wanaume wengi usiku mmoja,.
Kinachotokea ni hivi,ukiwa na hofu maungo yako hayataweza kuwa dede na utakuwa goigoi,nae hajali anaustua kidogo kisha hivyo hivyo ulivyo anaulazimisha kuuzamisha huko,matokeo yake ndani ya dadika moja utakuwa ushamaliza anakwacha anaennda zake,nawe unabaki kujiuliza nimekwaje mbona kina mwajumandala ndefu nawaburuza kila siku,au nimeanza kuumwa mini......
A
Aseee nakuja wifi yenu amenishika sehemu gani sijui ila nadhani anataka kunivisha mkanda ngoja nimgeukie....