Katiba mpya wanayotaka chadema ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.Maridhiano: Samia karidhia kuruhusu mikutano ya kisiasa na kuahidi katiba mpya, je wengine wameridhia nini kwa upande wao?
Maridhiano ni ya viongozi wa kisiasa tu maana wao ndio wanaonekana sana kuplay victims.Maridhiano: Samia karidhia kuruhusu mikutano ya kisiasa na kuahidi katiba mpya, je wengine wameridhia nini kwa upande wao?
Duh...!.Mbowe usituone majinga tunajua umelambishwa asali ili uendelee kumtukana magufuli
Duh...!, yaani mikutano ya hadhara unaiita mikutano ya ujinga?!.na Najaribu kusema ni1 kati ya masharti ulopewa ili uendeshe mikutano ya ujinga.
Duh...!. Nasubiria kwa hamu hizo ajendaNimalizie kusema kajipangeni upya mana mmeshuudia kilicho wakuta baada ya kuropoka. Msipo badili agenda haki ya mama mtajaniambia
Sijui ni kwanini najisikia nimle nyama mtu anayetaka kumsifu yule lucifer aliyeniulia ndugu yangu. JPM ni LUcifer na mahali pake ni motoni! Ni haki kumpiga mawe popote anapotajwa!Mbowe usituone majinga tunajua umelambishwa asali ili uendelee kumtukana Magufuli na najaribu kusema ni moja kati ya masharti uliyopewa ili uendeshe mikutano ya ujinga. Binafsi Magufuli ni mkombozi mana toka Tanzania ipate uhuru, ndiyo nilijua kuwa sisi sio maskini bali umaskini tuliyo nayo unatengezwa na mijinamizi kama nyie.
Magu alithubutu kumpa Mtanzania furaha ambayo hakuwahi kuipata. Mlimsakama kwa vitu vidogo sana ukilinganisha kwa yanayo jiri sasa. Alitaka kuifanya Chato uwe mkoa mlisema ni mbinafsi leo hii mali na wanyama pori wanasombwa kiholela lakini mmetulia tuli.
Mkasema nchi itapigwa mnada kwa mda mfupi kakopa sana, nashangaa leo hii mnajifanya hamuoni huku maisha yanazidi kua magumu.
Umeme, maji, shule ya watoto, kiufupi hali nitete. Nashangaa unasimama mbele ya wananchi ambao wamejikatia tamaa ya maisha kuliko kuongelea mambo ya msingi ya kuwajenga unaenda kufufua mifupa!
Tunajua myasemayo si kweli bali ni visasi vya kunyimwa tonge. Nimalizie kusema kajipangeni upya mana mmeshuudia kilicho wakuta baada ya kuropoka. Msipo badili agenda haki ya mama mtajaniambia.
Na ni kweli unafikiri hali ilivyo sasa mwananchi wa kawaida anawaza hayo maridhiano sijui mikutano? Wenyewe wanasiasa wamepigania walichokitaka na kukipata ila sie wananchi bado tunapambana tu na ya kwetu.Maridhiano ni ya viongozi wa kisiasa tu maana wao ndio wanaonekana sana kuplay victims.
Sisi wengine tunapambana na ugumu wa maisha sisi na familia zetu.
Kwenye kuua ua magufuri sitakaa nimsamehe. Shweitan mkubwa. Ovyo kabsa.Wewe ni Nani Kwanza mpaka kiapo chako kiwe ndo tamko rasmi? Watuasi wa Dikteta hamtaki aguswe Kwa unyama aliofanya? Nendeni mahakamani basi. Tutamsema na Kwa Taarifa yako tutamsema alivyoua na alivyokwapua Mali za watu.