hiyo sheria ya kufungiwa mshahara mbona haipo?Mimi ni mwalimu katika shule moja morogoro wilaya ya mvomero,
Nilifungiwa mshahara wangu tangu mwezi wa tisa.
Kosa langu lilikua ni kutofika kazini kwa siku 20, lakini walinisamehe kwa kunionya na adhabu yangu ikaisha mwezi wa 12 mwaka jana,
Tangu mwezi wa 12 mshahara wangu sijaupata na sasa hivi mshahara wa mwezi wa pili sijapata,.
Nimefuatilia halmashauri mara nyingi napewa majibu mepesi ambayo hayaendani na maswali yangu.
Ambao mnauelewa kuhusu hili naombeni msaada wangu ili niweze pokea pesa zangu za miezi miwili,.Kwa maana nipitie njia gani niweze pata hela yangu kiwepesi.
Natanguliza shukrani kwa wanajamvi wote mtakao guswa na kuweza nisaidia kimawazo kuhusu hili.
Karibuni wanajamvi.
Mimi ni mwalimu katika shule moja morogoro wilaya ya mvomero,

CWT hamna kitu ni wapiga dili tu!Waone CWT watakusaidia
Waone CWT watakusaidia
CWT hamna kitu ni wapiga dili tu!
.............
.....
3.Hivi kufanya mfumo wetu ukawa ni 'English medium' itatugharimu kiasi gani cha fedha.
................................
hiyo sheria ya kufungiwa mshahara mbona haipo?