Prophet
JF-Expert Member
- Aug 31, 2010
- 274
- 128
Mazoezi ni tiba ya kila kitu. Hata tija kazini huongezeka kama ukifanya mazoezi. Binafsi nikifanya mazoezi hata muda wa kuamka huwa ni alfajiri tena bila kujilazimisha. Mwili unakuwa active sana, wanasema metabolism inaongezeka.
Msisahau kula mlo kamili, maji mengi na kupumzika (kulala) muda wa kutosha. Maishayako yatabadilika sana na ufanisi utakuwa juu si kitandani tu bali hata shambani.
Msisahau kula mlo kamili, maji mengi na kupumzika (kulala) muda wa kutosha. Maishayako yatabadilika sana na ufanisi utakuwa juu si kitandani tu bali hata shambani.