qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,382
we mbwiga(qn of sheba) njoo usome hapa!
sina uhakika na akili zako , labda hukifahamu unachokiongelllea .
mzumbe wameenda wajinga wajinga kwl kutoka shule yetu mpk three z 15 jaman muccobs wazuri me nafkiri kutokana na hoja alizotoa mkuu
I real doubt your education....
hahahah umekosea kabisa kwa mfano mtu amefaulu vizuri anataka asome BACHELOR OF ARTS IN CO-OPERATIVE MANAGEMENT AND ACCOUNTING ataenda wapi?
i bet your in Red or Menopause!Acha hasira wewe na acha umbula ndo shida ya kukurupuka kureply bila kusoma nilichokiandika angalia post zangu ndo uje kuniita ita hapa nimekuambia wenye three hapo ni wengi wenye two ni wachache na wenye one ni mmoja kati ya kumi na wenye four wapo kibao wanasoma diploma we vipi mbona hueleweki kama papuchi za msichana. Utaniita majina yote ila hautabadilisha ukweli muccobs ni chuo cha div 3 ndo maana mnalalamika shule ngumu.
Hakuna aliye faulu vizuri akaenda kusoma kusoma hapo na labda atumwe na shirika na kama utaona post yangu ya mwanzo niliweka % za division hapo muccobs nikasema wenye div I wanaweza kuwa 10% tu.
Alafu mnavyo jifariji sasa eti kwavile ni chuo cha ushirika ni rahisi kupata ajira CRDB kwasababu jina lake ni bank ya ushirika ndugu CRDB sikuiz jina haiko kiivyo na mambo ya ushirika na bahati mbaya ckuiz wanaajiri wanafunzi wengi wa UD, IFM,Mzumbe,Udom na Sua. Muccobs tho ni chuo cha ushirika wanashindwa kupata coz though mnaingia na div 3 lakini bado mnatoka na lower au pass G.P.A wakati CRDB inataka upper 2nd mnashida sana yani.
Unajua historia ya Queen of Sheba, alitoa papuchi kwa King Suleiman for water ndipo akapatikana uzao wa chimbuko la Haile Selassie(Kings of Kings)wa Ethiopia!Hauna uhakika coz hujui historia ya hicho chuo either ilihadithiwa or ulisoma na kumaliza bila kukijua vizuri chuo chako...
Tena Muccobs hata mwenye three ya 17 PCB anasoma BAAF pale teh teh teh
hakuna aliye faulu vizuri akaenda kusoma kusoma hapo na labda atumwe na shirika na kama utaona post yangu ya mwanzo niliweka % za division hapo muccobs nikasema wenye div i wanaweza kuwa 10% tu.
Alafu mnavyo jifariji sasa eti kwavile ni chuo cha ushirika ni rahisi kupata ajira crdb kwasababu jina lake ni bank ya ushirika ndugu crdb sikuiz jina haiko kiivyo na mambo ya ushirika na bahati mbaya ckuiz wanaajiri wanafunzi wengi wa ud, ifm,mzumbe,udom na sua. Muccobs tho ni chuo cha ushirika wanashindwa kupata coz though mnaingia na div 3 lakini bado mnatoka na lower au pass g.p.a wakati crdb inataka upper 2nd mnashida sana yani.
mleta mada ungeandika kwa herufi ndogo ingekuwa bomba.
hahahah hamna kitu kama hicho cutt off mwisho ni 4.5 yaani iii.14 , halafu kwani mtu mwenye division three hawezi kusoma degree?,
Mandela mm nina uhakika na akilizangu kwani nilisomea Ushirika Moshi, nikianzia Kilimo mpaka namalizia Azimio wakati huo kuna TV ya Kenya pale Laundry.sina uhakika na akili zako , labda hukifahamu unachokiongelllea .
mandela mm nina uhakika na akilizangu kwani nilisomea ushirika moshi, nikianzia kilimo mpaka namalizia azimio wakati huo kuna tv ya kenya pale laundry.
Usipende kudharau watu au kuwadanganya
ni mkurugenzi gani wa halmashauri ya wilaya, jiji au katibu tawala aliyetokea mucobs
mm nimekupa majina ya viongozi wako wa chuo wewe unakasirika kuulizia akili yangu
kweli unakidhalilisha chuo changu
nakushauri ukimaliza hapo kasome na vyuo vingine kusafisha cv
unalipwa ngapi kwa promoooo???!!
Mandela mm nina uhakika na akilizangu kwani nilisomea Ushirika Moshi, nikianzia Kilimo mpaka namalizia Azimio wakati huo kuna TV ya Kenya pale Laundry.
Usipende kudharau watu au kuwadanganya
Ni Mkurugenzi gani wa Halmashauri ya wilaya, Jiji au Katibu Tawala aliyetokea MucoBs
mm nimekupa majina ya viongozi wako wa Chuo wewe unakasirika kuulizia akili yangu
kweli unakidhalilisha Chuo changu
Nakushauri ukimaliza hapo kasome na Vyuo vingine kusafisha CV
hakuna anayelipwa ..msitarajie kila msema ukweli lazima alipwe .. Sina maslahi yeyote na 'muccob's" ila kwnye ukweli patabaki kua ukweli .
una matatizo ya kusoma capital letter.
Capital letter maana yake ni kuonyesha msisitizo kwa kitu unachokiandika .