Siri nzito ya 'muccob's" hii hapa.

Nakubaliana nawe mkuu,muccobs aka muccobize elimu yake ngumu kama harvard watu wanasoma utafikiri wanafunzi wa sekondar,pia nidham lazima iwepo tu kwa njia yoyote! Hapana chezea C.C.P kabisa wakizingua tu jamaa wanashuka kufanyia field pale

Lazima wasome kwa nguvu na masomo wayaone magumu coz wengi wao pale hawakufanya vizuri secondari. Mbona SUA watu kitabu kinaenda na masomo magumu na watu hawatafuti sifa za kijinga humu.
 
sawa ingia ukiwa na divission yeyote ile hatukatai .. ila ukiingia na ukafanikiwa kutoka jua umetoka tofauti kabisaaa.
 
Hao wenye div III watakuwa wanasowa diploma.
 
Acha kupiga promo wanaoenda hapo ni wale waliofel yani div 3 na kuendelea.Uliye anzisha huu uzi unataka marumbano ya vyuo wakati hayana tija kwa Tz wakati wasomi wengi na rasilimali zinaibiwa na Wazungu Je kuna haja ya kuwa na wasomi?

Wacha kukurupuka wew mimi nimesoma hapo bila ya point 4 form six uwezi ingia muccobs kipindi tcu walikuwa hawapo na kama ulikuwa ukihonga lazima tu watakukamata na kukulazimisha uanze na diploma walioharibu ule utaratibu wa point nne na tcu kama unafahamu vizuri majibu unayo mwanafunzi mwenye point nne anadiv ngapi
 
Ukiwa na kitu kibovu au unaudhaifu fulani lazima ujihami na kujisifia chema cha jiuza jamani na kibaya cha jitembeza ukitaka kusifia sifia na TIA na Magogoni maana asilimia kubwa ya watumishi wa serikali ni product ya hivyo vyuo.
 
Hao wenye div III watakuwa wanasowa diploma.

Sio watakuwa walisha graduate tena ni degree wengi walisoma BAAF na Procurement wenye four ndo walisoma diploma. Siongei kinafiki bali ni ukweli coz wengi ni classmates zangu na some are my friends.
 
Ukiwa na kitu kibovu au unaudhaifu fulani lazima ujihami na kujisifia chema cha jiuza jamani na kibaya cha jitembeza ukitaka kusifia sifia na TIA na Magogoni maana asilimia kubwa ya watumishi wa serikali ni product ya hivyo vyuo.

sina uhusiano wowote na chuo hicho .. ila katima hali ya mda mrefu kimekua kikizungumziwa saana .. na niliona si mbaya kukijua undani wake na hayo ndiyo kati ya niliyoyagundua .. sasa ww kama unaweza fanya tafiti fanya unaweza ukagundua kitu tofauti na mm .
 
Acha kupiga promo wanaoenda hapo ni wale waliofel yani div 3 na kuendelea.Uliye anzisha huu uzi unataka marumbano ya vyuo wakati hayana tija kwa Tz wakati wasomi wengi na rasilimali zinaibiwa na Wazungu Je kuna haja ya kuwa na wasomi?

Kama huna unachojua bora ukanyamaza tu.
 
Acha kudanganya kwavile umesoma hapo ndugu nina mdogo wangu last born yupo hapo 1st year alikuwa ana div II ya 12 form six tena HKL na rafiki zake pia waliopata three wapo hapi degree na usijifanye mjuaji TCU haijaanza juzi hata enzi zetu ilikuwepo though tulikuwa tunaomba direct vyuoni ila ukiwa na multiple admission aliza ucomfirm TCU kwa barua ili utambulike na chuo na upate boom na hata enzi zetu niliomaliza nao wenye III wengi walienda hapo na hata walio maliza kabla na baada yangu. Kile chuo moshi tunakijua tangu enzi zetu ukipata 3 unauhakika Muccobs hukosi.
 
Sio watakuwa walisha graduate tena ni degree wengi walisoma BAAF na Procurement wenye four ndo walisoma diploma. Siongei kinafiki bali ni ukweli coz wengi ni classmates zangu na some are my friends.

Inawezekana.

Je baada ya kumaliza walikuwaje huko sokoni ili na sisi tujue kama panafaa kuwapelega wadogo zetu.
 
sawa ingia ukiwa na divission yeyote ile hatukatai .. ila ukiingia na ukafanikiwa kutoka jua umetoka tofauti kabisaaa.

Kutoka hao niliowasema wote wametoka ila kama ulivyosema wametoka tofauti kabisa na kuacha ule uvivu waliokuwa na secondary hali iliyopelekea wakione chuo kigumu au masomo magumu wakati masomo ni yaleyale tu.
 
Inawezekana.

Je baada ya kumaliza walikuwaje huko sokoni ili na sisi tujue kama panafaa kuwapelega wadogo zetu.

Soko halina chuo ni uwezo wako tu ndugu haya mambo ya Ud sijui Mzumbe sijui Teku sijui Muccobs ni ya ki college huku kitaa ndo Havard yenyewe wapo walioajiriwa na wapo walio jobless up to date na wapo waliojiari wenyewe pia kati yahao nilio kutajia ila ratio ni kawaida tu na wengine sio kusema eti chuo fulani ni best zaidi.
 
MUCCOBS First year at work now.........................!
 
Hicho chuo kwanza ni maarufu huko Moshi sana hali iyotupelekea hata wanafunzi tuluosoma huo mkoa enzi zetu sekondari tukione ndo chuo kikuu bora hata wengine wazee wetu kutulazimisha tubaki hapo ukienda Chuga hao wanaamini IAA ndo kila kitu ukienda Mbeya hao wanaimani sana na Teku yao ukienda mikoa mingine kama pembezoni au kusini hao chuo kikuu wanachokiona na kusifia best ni Ud na Mzumbe. So huo unaweza kuwa tu mtazamo wa jamii fulani
 
sifa zote ulizozitaja zinapatikana UD. na zingine nyingi kukifanya muccobs kionekane cha kawaida sana..
 
mnunuzi na muuzaji hukutana pamoja .. Na kama ulishanunua ngono moshi aliyekuuzia akakuambia ni mwanafunzi wa pale kakudanganya ili umuone wa thamani other wise hakuna ukweli .

Wapi Wewe Wanauza Mbunye Na Wanaume Wahuni Balaa Si Tunawaona,ndio Maana Fiesta Na Misheree Yote Ya Kizinzi Huwa Ni Pale Uwanjani Kwenu,mr Usifikiri Hatujui Chuo Chenu Kimeoza.
 
We jamaa mbona hii tabia hutaki kuacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…