jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Nimekua nikichunguza haya mambo ya mapenzi kwa muda mrefu na haya ndio majibu yangu;
1. Kuna watu hawana uzuri wowote lakini wanamvuto wa nguvu kwenye mapenzi (sura mbaya, mweusi tii, yupo yupo tu)
lakini watu wanampapalikia.
2. Kila mtu kuna kitu kina mvuta kwenye mapenzi wengine umbo, rangi, kimo, macho, sura, makalio (nikimuona mwanamke mwenye macho mazuri napagawa).
3 .Ukoo(genetic factor) kuna baadhi ya koo hawapendi au wana attraction ndogo na kuna koo nyingine wanapendwa mfano kuna ukoo flani duuh wanagombaniwa kama ni wa kiume basi wanawake kila siku wanamsumbua si mzee mtoto wala kijana na kama ni wa kike basi wanaume hawaishi kumhangaikia.
4. Attraction romantic force
Kila mtu anazaliwa na force flan ya kimapenzi kadili hiyo force inavozidi kuwa kubwa ndio mtu ana kua anamvutia karibuni kila mtu kima penzi
Hivi hujawahi kujiuliza kwanini baadhi ya watu kila mtu anampenda au anamshobokea awe na pesa , hana pesa, mchafu au msafi? Na kuna mtu kila mtu hamtaki au anamsumbua kima penzi haijalishi ana pesa au hana?