Malaya wa Rwanda wanasonya tuMexican GP inakuaga muda mibovu. Sahivi ndio grid imeisha saa 7 hii.
View attachment 3702398
Hamilton Namba 1. Race jumapili saa 5 usiku.
Kimi, yupo number 4.Yule dogo chipukizi hajashinda au hakushiriki
Hapana nilimanisha verstappenKimi, yupo number 4. View attachment 3702583
Tatizo Hawa Jamaa wanaachana milliseconds. Mfano Lewis hapo ukatumia dk 1 sekunde 16 na Mil sec 514 kwahiyo kampita Kimi kwa tofauti ya Mil sec 200 hivi. Ni kama speed ya kublink macho
Wanaboronga sana kwenye strategyFerrari wameupdate turbo na, aerodynamics, sema Kimi hatabiriki, Dogo wa moto
Kaka huyo ni WA juzi unafahamu Hamilton yupo langalanga tangu mwaka Gani ?Verstappen unamuita chipukizi. Msanii unadharau sana. World Champion mara Nne (2021, 22, 23 & 2024)
Kaka huyo ni WA juzi unafahamu Hamilton yupo langalanga tangu mwaka GaniVerstappen unamuita chipukizi. Msanii unadharau sana. World Champion mara Nne (2021, 22, 23 & 2024)
Achana na mambo ya ushindi, hata yamal kwa sasa ni mshindi mbele ya Ronaldo na mesii lakini haiondoi yamal ni chipukizi.Verstappen unamuita chipukizi. Msanii unadharau sana. World Champion mara Nne (2021, 22, 23 & 2024)
Toa upumbavu wako hapa verstappen sio chipukizi kwenye F1Kaka huyo ni WA juzi unafahamu Hamilton yupo langalanga tangu mwaka Gani
Achana na mambo ya ushindi, hata yamal kwa sasa ni mshindi mbele ya Ronaldo na mesii lakini haiondoi yamal ni chipukizi.
Hamilton kaingia formula one 2007 verstappen kaingia formula one 2015 mi nikiwa mtu mzima lakini enzi za Hamilton nilikua mtoto, sasa unapo muweka verstappen na Hamilton sahani Moja unakosea heshima Hamilton sana mana huyu ni lol model wa huyo unaemuita mkongwe ni makosa kaka tujifunze kuwaheshimu malegend.
Chi benz alikasirishwa na mtangazaji alie muweka proffesor jay na wasanii chipukizi eti hawahoji hiyo ni dharau na kutoka kua na heshima chid alichukia balaa, wape legends heshima Yao mtoto wa 2015 unamlinganisha na Hamilton alieanza 2007 kweli? Yani huyu verstappen kaanza mboo enzi za wakina Instagram unamlinganisha na Hamilton mkuu?
Hamna unacho kijua mkuu, ni Bora unyamze ufiche aibu🤣🤣🤣Toa upumbavu wako hapa verstappen sio chipukizi kwenye F1
OkKaka huyo ni WA juzi unafahamu Hamilton yupo langalanga tangu mwaka Gani
Achana na mambo ya ushindi, hata yamal kwa sasa ni mshindi mbele ya Ronaldo na mesii lakini haiondoi yamal ni chipukizi.
Hamilton kaingia formula one 2007 verstappen kaingia formula one 2015 mi nikiwa mtu mzima lakini enzi za Hamilton nilikua mtoto, sasa unapo muweka verstappen na Hamilton sahani Moja unakosea heshima Hamilton sana mana huyu ni lol model wa huyo unaemuita mkongwe ni makosa kaka tujifunze kuwaheshimu malegend.
Chi benz alikasirishwa na mtangazaji alie muweka proffesor jay na wasanii chipukizi eti hawahoji hiyo ni dharau na kutoka kua na heshima chid alichukia balaa, wape legends heshima Yao mtoto wa 2015 unamlinganisha na Hamilton alieanza 2007 kweli? Yani huyu verstappen kaanza mboo enzi za wakina Instagram unamlinganisha na Hamilton mkuu?
Kaka upo kwema lakin mkuu