let the caged bird sings JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 4,097 Reaction score 9,610 May 6, 2022 #1 Kuna watu wanavipaji vya kusimlia. Sauti zao na mpangilio wa maneno yanayotoka mdomoni vinaweza kukufanya usikilize zaidi hata ambacho ukutaka kukisiliza. Ikiwa kuna watu 3 duniani wenye vipaji hivyo basi Sir David attanbrough ni miongoni mwao.
Kuna watu wanavipaji vya kusimlia. Sauti zao na mpangilio wa maneno yanayotoka mdomoni vinaweza kukufanya usikilize zaidi hata ambacho ukutaka kukisiliza. Ikiwa kuna watu 3 duniani wenye vipaji hivyo basi Sir David attanbrough ni miongoni mwao.
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 9,293 Reaction score 12,874 May 6, 2022 #2 Kasimulia nini huyu Umewahi kusikia hadithi ya Akajase mbamba au Ua jekundu enzi zile aliyekuwa anasimulia.
Kasimulia nini huyu Umewahi kusikia hadithi ya Akajase mbamba au Ua jekundu enzi zile aliyekuwa anasimulia.
K Kop Senior Member Joined Oct 17, 2012 Posts 178 Reaction score 338 May 6, 2022 #3 Hebu rudia kuandika kwa usahihi hiyo Attanbrough,
Shangani JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 776 Reaction score 1,093 May 6, 2022 #4 Morgan Freeman.
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,551 Reaction score 20,259 May 6, 2022 #5 Kop said: Hebu rudia kuandika kwa usahihi hiyo Attanbrough, Click to expand... Jina sahihi ni David Attenborough
Kop said: Hebu rudia kuandika kwa usahihi hiyo Attanbrough, Click to expand... Jina sahihi ni David Attenborough
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 May 6, 2022 #6 Juzi nimesikiliza documentary yake anaelezea jinsi mazingira yanavyojirudi yenyewe.
let the caged bird sings JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 4,097 Reaction score 9,610 May 6, 2022 Thread starter #7 Myangu said: Kasimulia nini huyu Umewahi kusikia hadithi ya Akajase mbamba au Ua jekundu enzi zile aliyekuwa anasimulia. Click to expand... hapana, sijawai ila nina hakika awezi mfikia huyu mzee.
Myangu said: Kasimulia nini huyu Umewahi kusikia hadithi ya Akajase mbamba au Ua jekundu enzi zile aliyekuwa anasimulia. Click to expand... hapana, sijawai ila nina hakika awezi mfikia huyu mzee.
let the caged bird sings JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 4,097 Reaction score 9,610 May 6, 2022 Thread starter #8 Kop said: Hebu rudia kuandika kwa usahihi hiyo Attanbrough, Click to expand... Broughattan, hapo vipi?
Kop said: Hebu rudia kuandika kwa usahihi hiyo Attanbrough, Click to expand... Broughattan, hapo vipi?
let the caged bird sings JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 4,097 Reaction score 9,610 May 6, 2022 Thread starter #9 Bavaria said: Juzi nimesikiliza documentary yake anaelezea jinsi mazingira yanavyojirudi yenyewe. Click to expand... Unakuwa unajisikiaje vile midomo ya huyu mzee anavyopangilia maneno, sentence na sauti yake vilee. 😊 Definitely mzee ana talanta.
Bavaria said: Juzi nimesikiliza documentary yake anaelezea jinsi mazingira yanavyojirudi yenyewe. Click to expand... Unakuwa unajisikiaje vile midomo ya huyu mzee anavyopangilia maneno, sentence na sauti yake vilee. 😊 Definitely mzee ana talanta.
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,128 May 6, 2022 #10 Wafanye collabo na royo tua
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 May 7, 2022 #11 asisahaulike wa mkanda wa Yesu wa kiswahili.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,203 Reaction score 184,931 May 7, 2022 #12 Anajitahidi sana...