Hakuna kitu kinachonikera kama mwanaume kumfata msichana inbox iwe fb au whatsapp na kumuomba namba ya simu. Kama wewe ni msichana na unakerwa na hii tabia kama inavyonikera mimi, NITUMIE NAMBA YAKO YA SIM INBOX tujadiliane tuone ni kwa namna gani tunaweza kulikabili hili tatizo!!!
Sijaona namba yako.
*Kuna jamaa hapa alikuwa anatoa ushauri eti Acheni kutongoza mademu wengine wakati bado mko involved na demu mwingine...jamaa kampa jibu eti kwani Ukienda kununua kiatu unaenda peku?
ahhaa aiseee kiukwel hata mimi binafsi nikichat na mtu humu au Fb bila kuniomba no nahisi kunakitu bado hakija kaa sawa..ingawa sio guarantee kwamba ni easy kiasi icho kutoa.