Sipendi wanaohalalisha Infidelity

mie mwenzenu nasuport akina da sopphy kwa mikono na miguu miwili!

its soo unrealistic kuwa kny jamii kama yetu ambayo utamaduni wa vimada ni kama fasheni afu uje na remarks kama hizi...

inawezekana hata mtoa mada,mumeo au baba yako ana vimada lukuki...

its time we gave them,respect as they deserve!!......kwa sababu km tungekuwa tuna run our homes effectively...wao wasingehitajika...

BIG UP da sophy kwa kuwa na courage ya kuja hapa jamvini na kusema uliyosema...much respect!
 

Hii unayoongelea wewe Keil ni asilimia ndogo sana, na tena i would dare to say ni mwanaume mjinga wa kutupwa ndo anaeweza kufanya hayo kwa nyumba ndogo wakati kwake hakuna. naweza kumwita mbumbumbu wa mapenzi kama hajafanyiwa limwata. Lakini with all things in constant hakuna mwanaume anayeweza kufanya hayo. tunaweza kuweka poll hata hapa jf wanaume waseme. NA WANAOFANYA HIVYO NI WALE WALIO NA PESA NYINGI, WANA KILA KITU KIASI AKIOPOA HUYO NYUMBA NDOGO ambaye hajareach standard zake ndo inabidi am upgrade ili afikie kiwango chake. Hebu fikiria inawezekanaje mwanaume amjengee nyumba ndogo na kumnunulia gari wakati mkewe na yeye wanaishi nyumba ya kupanga na kupanda daladala? hiyo akili au matope? Think about it. lakini bottom line is nyumba ndogo ni nyumba ndogo no mateer how people try to justfy
 

sijui we bibie umelelewa malezi gani hadi ushabikie uzinzi, lakini mimi najua kutembea na mume wa mtu ni utovu wa nidhamu na kujishusha hadi grade ya chini. so i dont buy it. Mume wangu hana kimada, hajawahi na hili nasema wazi, na hata yeye anapitia humu nina uhakika anasoma. baba yangu tangu nikue hadi nikawa na akili timamu sijawahi kumhisi na hata kusikia, i guess i am lack that way. so siwezi kukushangaa wewe na opinion yako, yawezekana kwako hii ni order of the day so what can i expect from you? wanasemaga birds of the same feathers....... so cheer them up gal.
 

naona hujaona nyumba ndogo zikisambaratisha familia kabisaaa,hata mwanaume anasahau watoto aliowazaa mwenyewe!...these things happens kila siku,fungua macho uone..
 

sijawahi kuwa na matatizo yotote katika ulezi wangu,haya mambo yapo mitaani,unless wewe mwenyewe uyafumbie macho...

eti mumeo hana kimada!...ATAKUAMBIA????what makes you,to be so sure???watu wameletewa watoto pindi waume zao walipokufa!..am sure wangeapa kama wewe hapo juu kuwa waume zao hawatembei nje ya ndoa....

again hili la infidelity halikuhusu na sioni kwa nini likusumbue kama mumeo hatoki nje,hujampa sababu ya kufanya hivyo!...but it will be sooo unrealistic kuwaza nyumba nyengine nazo zimejitosheleza kama ya kwako....

wanaotoka nje ya ndoa wana sababu zao,kama mumeo hana,usitake kuassume na waume wa wenzio pia HAWANA...!..

AND HEELL NO,KWA NINI NIMLAUMU DA SOPPHY,WKT NI MUME WANGU ALIYESAHAU KIAPO CHETU NA KUMFUATA?
 
Poor Carmel!!!! Poor Binamu!!!

Hivi unategemea atakutangazia kuwa ana nyumba ndogo. Mama Matesha wangu anaweza kukuapia kuwa mimi mme wake mpenzi niliyeshushwa toka mbinguni kwa ajili yake tu, sijawahi kugonga nje tangu nimuoe. Anaamini hivyo kama ambavyo wewe unavyoamini. Infact ni asilimia kubwa ya wanawake wanaamini hivyo.

Lakini ukweli tunaujua sisi. Mama Matesha wala hata hajui kama nimeshamgongea rafiki yake, nimeshamtafunia mdogo wake, hapo usihesabu kina Eliza na wasaidizi wao.
 


Loooh!
 
umenichekesha sana, na kunikumbusha siku moja niko saloon kuna kaka mmoja alimleta mke wake atengeneze kucha sasa mtegeneza kucha ni kijana akawa anaushika mguu anausafisha akauinua kidogo juu yule kaka akawa anamuangalia kwa mbali nje ghafla akaingia saloon akamwambia mkewe haya tuondoke mke hakajibu mbona sijamaliza nimekwambia tuondokeee!! akamvuta akamtoa nje wakapanda kwenye gari haooo toka siku hyo sikuwahi kumuona huyo dada saloon.
 
Pole sana binamu kama wewe pia ni mgonga nje. yes, againi and again, nasema tena wangu hajagonga nje hadi sasa, nyie mnaona ni impossible kaeni hivo hivo na imposibilities zenu. tatizo watu mmezoea maovu kiasi kwamba mnaona mema hayawezekani lol. what makes you think haiwezekani kuwa mwaminifu? a
 

Na wewe bado unaenda saluni? Una bahati wewe si mke wangu.
 
mmmmh am puzzled!! mkuu hata wewe???? sihukumu .... najaribu tu kufikiria kama unamaanisha ulicho bandika!!
.
Madabwada, kwa kabila mimi Msukuma chapa ng'ombe, I'n not jocking, hapa nilipo tayari nina watoto 5 wamama 2 na bado!.
 

Hahaaaaa!! Hii kwa kweli nimeipenda sana. Its very true kwa some couples. Unaona asubuhi na mapema huyoooooo anaondoka kimya kimya.
 
Wanaume wote tumeumbwa kwa namna moja na tuna tabia zinazofanana. Nina marafiki lukuki niliokutana nao shuleni/baa/kanisani/kazini nk nk nk..... Woooote hao hakuna niliyemuuliza kama amewahi kugonga nje akakanusha. Lakini wooooote hao, wake zao wanawaamini kama wewe unavyomwamini mmeo.

Kama kuta zingekuwa zinaongea...........................
 
Mamaa la Carmel, hebu soma hii ya msemakweli mwenzangu hapa chini.

.
Madabwada, kwa kabila mimi Msukuma chapa ng'ombe, I'n not jocking, hapa nilipo tayari nina watoto 5 wamama 2 na bado!.
 


ndio mana mie naogopa kumkania kabisa, kwamba hatoki cjui na kitu gani, bora nijiweke 50-50 tu mambo mengine yafate, lakini cku nikilikamata yaani cjui.....hivi chris hebu nikuulize, sasa kama wewe ni sababu gani inakufanya utoke nje? naomba nijue plz.
 
At least sasa tunaanza kuimba wimbo mmoja!
 


Oooh my dear friend omba mungu apishe mbali kama kweli hajawahi shukuru mungu kimoyo moyo na roho wa mungu aendelee kumuongoza katika hilo .wana siri hao huwa inatokea ikugundulika kwa bahati mbaya na katika mazingira usiyoweza kuamini.
 
Oooh my dear friend omba mungu apishe mbali kama kweli hajawahi shukuru mungu kimoyo moyo na roho wa mungu aendelee kumuongoza katika hilo .wana siri hao huwa inatokea ikugundulika kwa bahati mbaya na katika mazingira usiyoweza kuamini.
Na wewe leo tumeimba kwaya moja. unanidai ndovu tatu!
 
Oooh my dear friend omba mungu apishe mbali kama kweli hajawahi shukuru mungu kimoyo moyo na roho wa mungu aendelee kumuongoza katika hilo .wana siri hao huwa inatokea ikugundulika kwa bahati mbaya na katika mazingira usiyoweza kuamini.

na mwanaume yoyote anaempenda na kumuheshimu mkewe atafanya juu chini huu upuuzi usijuulikane, atatumia akili zake zote za kuzaliwa...ni kuomba mungu tu, mie ckanii nafc ya mtu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…