ndechilio shoo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 997
- 366
wao wanakupenda?nikimuona msichana kavaa wigi au kasuka rasta,kope za bandia,rangi mdomoni,mikucha ya bandia ,sitamani hata kuwmangalia.hasa wanafunzi wa vyuo vikuu mfano UDSM,UDOM,IFM,CBE,yani ukiwaona walivyovaa mawigi utazani kofia za askali wa kikoloni.siku mmoja wakati 2naenda kupiga lecture mbele yu2 walikuwa walembo c unajua upepo hauna adabu ?mawigi kama 3 yakapeperuka walembo waliaibika kinomaaa ikabidi vidume vinavyopenda sifa vianze kukimbilia mawigi kuwasaidia wakina dada.
Halafu hayo madude yananuka mmmmh, yanakat rythme kabisa kunako 6x6...................!😛uke:
tatizo unatoka na masista duh uchwara anakaa na nywele mwezi mzima bila kuzifanyia usafi,akhuu babu mpe hela akalioshe akuvutie zaidi.
hahahahaa umenichekeshaje! Unapenda thketi gani thatha?Aithee mi thipendi wanawake wanaovaa thiketi dha malinda.