Juzi kuna baba mmoja alimpaka sumu mke wake kwenye matiti afu ye akaondoka kwenda kazini ili akirudi akute mtoto amekufa kwakuwa alikuwa anajua sio mtoto wake.......ile anarudi badala ya mtoto akakuta amekufa house boy...
# Usiniulize alikufaje ...mi simooo! mambo ya umbea na ujinga sipendagi mimi