Leo wamekata sijui mara ngapi na ni punde tu wamerudisha...yumkini watakata tena... rubii hivi kwanini wasikate kabisa hata miezi nane watengeneze matengenezo yao yote yasiyoisha kisha warudishe wasikate tena?

Sipendi mtu anapo maliza kula anajichokonoa meno na kijiti, kisha anaitoa na kukiangalia kipande cha nyama alichokitoa, alafu anakirudisha mdomonitena.
Aggghhhh...... sipendi kabisa
Mi sipendi tabia ya mtu kuwa na id yake humu hachangii mada yoyote hata kusema "hi" lakini kazi yake kwenda pm za watu kuwatongoza sipendi kabisa hii tabia kama ni wewe badilika!!!!!!!!