Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Wadau naomba msaada,
Kiukweli sipendi mpenzi wangu akizama chumvini, sababu kuu ni kuwa akishazama anataka anikiss mdomoni. Aisee najisikia vibaya, kuna wakati nilimwambia sipendi ikawa ugomvi mpaka akakata mawasilino, nikamwomba msamaha ili kujua shida ni nini? Akaniambia nambania kuzama, yaani kuzama ndio ugonjwa wake.
Nakerwa na hii hali wanajamii forum naomba msaada wa mawazo, nifanyeje ili aache.
Ndio umeamua kuja kunianika huku,sasa nakwambia nikizama chumvini sitoki hadi ukojoe Mara 7.Kuanzia kesho naanza kuzama tigoni.Wadau naomba msaada,
Kiukweli sipendi mpenzi wangu akizama chumvini, sababu kuu ni kuwa akishazama anataka anikiss mdomoni. Aisee najisikia vibaya, kuna wakati nilimwambia sipendi ikawa ugomvi mpaka akakata mawasilino, nikamwomba msamaha ili kujua shida ni nini? Akaniambia nambania kuzama, yaani kuzama ndio ugonjwa wake.
Nakerwa na hii hali wanajamii forum naomba msaada wa mawazo, nifanyeje ili aache.
kwan kuzama chumvini kuna madhara ganHongera sana, muelezee vizuri athari za kuzama chumvini atakuelewa labda, kuwa makini kuzama chumvini hakushauriwi kiafya