blackgold engineer
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
Katika maisha yangu ya kimapenzi huwaga sipendi madem masistatu,,mademu kama hawa muda wote hua wanapenda KUPRITEND sana,,kuanzia sauti jinsi waongeavyo,,hata vitu wavifanyavyo,,pia hua wanajifanya wajuaji sana,,juzi nilikua na demu sistadu pale bar akawa ananiambie eti yeye anapenda REDDS na WINE tu,,------- sana yyule dada siwezi kumsahau..bora niende kwetu kongoe mie huku Mtoni kwa azizi ally sipawezi MADUU wengi sana,,MADUU SIWAPENDI..
tumwache ajipange kwanza wakati sisi tunafaidi.wewe mabinti walugaluga wanakuhusu, tuachie masista du wetu