Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,943
- 1,015
CDM wameanza mapema kutoa uwongo kuwa KUNA vituo vya kupigia kura hewa; haid wameshushuliwa na Tume ya Uchaguzi; FOOLS Day watakuja na UCHANGUZI HAKUNA
wakithubutu tu kufanya hivyo uchaguzi unavunjika kwa KWELI ARUMERU WATU hatutaki umagamba huu tena
wasisubutu, Tutalipiga mawe....April Mosi, 2012 ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani na Mbunge katika Tanzania bara.
Siku hiyo, kila April Mosi, ndiyo siku watu wanayosema uongo sana (mkubwa na mdogo), kwa kisingizio cha "Fools Day".
Kama Igunga siku ya uchaguzi mdogo CCM waliweza kuzusha mgombea wa CHADEMA kajitoa bila aibu wakitumia gari kusambaza taarifa hizo, sembuse ktk 1/4/12.
CCM ya sasa, kusema uongo si mwiko maana walikwisha uvunja. Nahofia siku hiyo kuweza kuzusha mengi ya ajabu kwa msaada wa Polisi na Taasisi nyingine za serikali kwa kisingizio cha Fools Day.
Mlio mstari wa mbele na wa kati katika maeneo ya kampeni, watahadharisheni wananchi na kwamba wajipange.
Kila mkutano wa CHADEMA wanawakumbusha wananchi kuwa siku hiyo ni siku ya wajinga dunia hivyo CCM wanaweza kupita na magari ya matangazo na kuwatangazia kuwa Mgombea wa chadema amejitoa au amekufa hivyo waende wakaipigie CCM tu.....hivyo wapuuze taarifa zozote za namna hiyoJe unafikiri nini kifanyike ili kudhibiti fursa hiyo wanayoweza kuitumia CCM kuwadanganya wananchi?
Naona umegeuza siku ya wajinga kuwa ni leo....Tume baada ya kubanwa na chadema kuwa wameongeza vituo kinyemela imebidi wayatangaze rasmi kuwa ni kweli wameongeza na kupunguza baadhi ya majina lakini cha ajabu hawaja toa sababu kwanni wamepunguza majina na baadhi kuya hamisha vituo bila sababu....subua akili acha kutumia masaburi mkuuCDM wameanza mapema kutoa uwongo kuwa KUNA vituo vya kupigia kura hewa; haid wameshushuliwa na Tume ya Uchaguzi; FOOLS Day watakuja na UCHANGUZI HAKUNA
Tumewazoea MAGWANDA kulalamika.
CCM ni wa kuhurumiwa!