Tuongee ukweli, usione watu wanakutukana hapa wengi wao kondom ni ishu. Hii ipo sana hasa kwa wanawake. Ukimtomasa tu akazidiwa ukitaka kuchukua kondom utasikia, NO NEED!!! Tena anakasirika kabisa kama sio atalala kama gogo ukivaa kwa lazima. Jamani tuwapeni watu ushauri na sio kuwatisha na kuwakejeli. Kwani kuna mtu asiyejua kwamba kuna ukimwi. Hakuna familia nchi hii ambayo haijawahi kukutana na mgonjwa wa ukimwi!