Mpole mimi
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 315
- 104
bado .....
Duh. Wiki mara mbili...khaa mtuhurumiageeee
bado .....
Good night wangu
Usingiz umepotea
huyo arudi tu darasani maana dah!! kama shy land vile
jamani ninapopata papucho na wife wa miaka mitani anadai anapata mchebuko.. Hivyo ninalazimika kusubiri kwa siku 5 au wiki bila kupata Huduma tena... isitoshi ni mwanamke mbaye nilikutana nae akiwa amedumu ghetoni kwa muda..na alionakane ana uzeofu kwenye game kwa muda mrefu.. kwa hili fupi.. tatizo ni nini????
wengine mnakuwa na access na hii mitandao kwa vile tu mnaweza miliki simu, tab, pc nk ila suala la kusoma we jamaa sijui ulikimbia bakora au ndo akili imeishia hapo
usipende kunifananisha na watu ambao hawajielewi kama mtoa mada. unanifunjia heshema shangazi yangu.
shy land we ndo uliyesoma adi elimu ya juu? hivi unaelewa umeandika nini apo eti na wewe unawadanganya watu sijui umesoma wapi wapi uko Finland hahahahaaa
hivi ni mimi tu sijaelewa au hadi
Moderator???eti wewe umeelwa
Jamani ninapopata papuchi na wife wa miaka mitani anadai anapata mchepuko.
Hivyo ninalazimika kusubiri kwa siku 5 au wiki bila kupata Huduma tena isitoshi ni mwanamke mbaye nilikutana nae akiwa amedumu ghetoni kwa muda na alionakane ana uzeofu kwenye game kwa muda mrefu kwa hili fupi,tatizo ni nini.