Sipati unyumba kisa mchepuko

Sipati unyumba kisa mchepuko

BYTE

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
17
Reaction score
4
Jamani ninapopata papuchi na wife wa miaka mitani anadai anapata mchebuko.
Hivyo ninalazimika kusubiri kwa siku 5 au wiki bila kupata Huduma tena.. isitoshi ni mwanamke mbaye nilikutana akiwa kwenye game kwa muda mrefu...kwa ufupi,tatizo ni nini hasa....

Ndo maana yangu.......

Jamaa kakosea kwenye typing but nia take ni kwamba girlfriend wake wakifanya tendo anaumia maana Anachubuka,kwahiyo mpaka week hadi week ili maumivu ya kuchubuka yapungue kidogo ndo anapewa
 
Pole mkuu,nenda tu kwa daktari wanawake wa hivo hata hutaenjoy mapenzi
 
wengine mnakuwa na access na hii mitandao kwa vile tu mnaweza miliki simu, tab, pc nk ila suala la kusoma we jamaa sijui ulikimbia bakora au ndo akili imeishia hapo
 
Nakwel umekua. Nimesoma Mara tatu sijaelewa

Jamaa kakosea kwenye typing but nia take ni kwamba girlfriend wake wakifanya tendo anaumia maana Anachubuka,kwahiyo mpaka week hadi week ili maumivu ya kuchubuka yapungue kidogo ndo anapewa
 
Jamaa kakosea kwenye typing but nia take ni kwamba girlfriend wake wakifanya tendo anaumia maana Anachubuka,kwahiyo mpaka week hadi week ili maumivu ya kuchubuka yapungue kidogo ndo anapewa

Sasa siku tano nyingi kuvumilia?
 
Back
Top Bottom