Kwani arusha polisi walishinda? Au ni wananchi waliamua tu kuacha vurugu kwa kuwa walienda kuandamana na siyo kupigana na hawakujiandaa kwa vita na kama wangefanya vita polisi wakimbia na kupotelea mbali na kuachia jeshi kutuliza vurugu
Bro, hauko specific sana katika maelezo yako!Wakuu jana nilikuwa na marafiki zangu wakurya ktk story 2kaongelea vurugu za a town yani nilichoka wananimbia kwanza isingeisha cku 1 nakwakuwa polic waliua bac ungekuwa ugomvi wakudumu kila wakiona polic ni kuua tu yani walinisimulia kila nikipiga picha nabaki mdomo waz we achani jamani
Kwani arusha polisi walishinda? Au ni wananchi waliamua tu kuacha vurugu kwa kuwa walienda kuandamana na siyo kupigana na hawakujiandaa kwa vita na kama wangefanya vita polisi wakimbia na kupotelea mbali na kuachia jeshi kutuliza vurugu
Wanamsubili Shariff (mganga wa JK na Makamba) atoe tamko....Hivi jk haoini kuzuia haya au KALOGWA JAMANI!