Hebu tuambiane siku ambayo moderators wa humu jukwaani watakapoamua members wote wa humu wabadili majina yao wanayotumia sasa hivi na waanze kutumia majina yao halisi. Je, jukwaa litapoteza mvuto wake au litaongeza mvuto??
Na Avatars ziwe picha halisi!
Ninajaribu ku-figure out FaizaFoxy atakavyokuwa akionekana akiweka avatar yake halisi hapa Jukwaani bila kuvaa wigi lake kichwani!
Mbona rahisi sana tu,tutabadili majina nakuwa na majina ya watu kamili ambayo pia sio yetu.
Sasa kuna watu wanitwa Panya kwa huku Zanzibar sasa sijui watachukulia kama jina au nickname.
Maana makampuni ya sim yenyewe yamenshidwa itakuwa humu.
Maana kuna watu kibao wanatumia majina yao ya umaarufu mtaani na wamesajiliwa.
Wangeanza kwanza Facebook
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.