Habari.. (Kwa mwenye ujuzi na hili swala).
Natumia iPhone 5SE iOS 14, Cellular haikubali ni Wi-Fi Only! Notifications sizioni hadi nikiingia kwenye app husika ndiyo zinatokea ila simu ukiilock notifications hazitokei... nimejaribu ku-Google na kujaribu njia mabalimbali lakini sijafanikiwa.
Naomba msaada.