S Scarlet Pimpernel JF-Expert Member Joined Feb 22, 2017 Posts 576 Reaction score 402 Mar 21, 2017 #1 Hivi Rais anavyosema hapangiwi na kwamba yeye ndio yeye, au alienda peke yake kuchukua fomu. Anasahau kwamba ni mtumishi wa wapiga kura? Kura za wananchi ndio zimemuweka hapo. Ni mtumishi sio mtawala
Hivi Rais anavyosema hapangiwi na kwamba yeye ndio yeye, au alienda peke yake kuchukua fomu. Anasahau kwamba ni mtumishi wa wapiga kura? Kura za wananchi ndio zimemuweka hapo. Ni mtumishi sio mtawala
Tuwaseme JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 645 Reaction score 1,198 Mar 22, 2017 #2 Kulalamika kwenye Mitandao haitakusaidia kitu..kama umechukizwa na kauli yake subiri 2020, malizana nae kwenye Chumba cha kupigia kura
Kulalamika kwenye Mitandao haitakusaidia kitu..kama umechukizwa na kauli yake subiri 2020, malizana nae kwenye Chumba cha kupigia kura
S Scarlet Pimpernel JF-Expert Member Joined Feb 22, 2017 Posts 576 Reaction score 402 Mar 22, 2017 Thread starter #3 Tuwaseme said: Kulalamika kwenye Mitandao haitakusaidia kitu..kama umechukizwa na kauli yake subiri 2020, malizana nae kwenye Chumba cha kupigia kura Click to expand... Pamoja na hayo lazima tuongee mpka hiyo 2020 tuwaelimishe na wengine. silence is not the answer
Tuwaseme said: Kulalamika kwenye Mitandao haitakusaidia kitu..kama umechukizwa na kauli yake subiri 2020, malizana nae kwenye Chumba cha kupigia kura Click to expand... Pamoja na hayo lazima tuongee mpka hiyo 2020 tuwaelimishe na wengine. silence is not the answer