Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,567
- 9,764
Aiseeeeeee... yaaani wewe chuo umeshamaliza muda sana, sema mtaaa umekupiga Ile mbaya unajifanya kuleta kauli za nkosajiIgweeeeeeeeeeeeeee
Salamu wana JF wote
Kuna jambo linanitatiza sana kichwani nimeona niwashirikishe na nyie nipate maoni yenu kidogo
Mimi ni kijana mdogo tuu niko bado nahangaika na elimu ya sekondari nipo kidato cha sita.
Nimekuwa nikijitahidi sana kusoma sana (kupiga msuli haswa) kuanzia nipo O level hadi kipindi hichi lakini tatizo ni kwamba sioni kabisa fani ninayotamani kuifanya kupatikana shuleni.
Nikiangalia masomo ninayosoma ni ya sayansi lakini sijioni kabisa kama daktari naona kabisa kutibu mtu kwangu itakuwa kazi sana wala sina moyo wa kuifanya hiyo kazi kabisa
Nina malengo baada ya kumaliza kidato cha sita nifanye mambo mengine lakini sio kuendelea na chuo natamani baada ya kumaliza kidato cha sita 2020 nikajitose kibaharia zaidi mtaani sababu fursa naziona nyingi huku niishipo ( moshi )
Niko njema darasani.
..Tunaishi Mara moja tuu
..Time is too short to take little shots
..mambo ni mengi mda ni mchache
( die trying or get rich )
NB
Naomba maoni yenu wana JF
Mali bila daftari.....
marehemu mengi mwenyew alienda chuo wakina dewji wenyew ndio kabisa sasa wewe komaa hivy hivy
Hapana sileti kauli za mkosaji ila naogopa kutokuwa mkosajiAiseeeeeee... yaaani wewe chuo umeshamaliza muda sana, sema mtaaa umekupiga Ile mbaya unajifanya kuleta kauli za nkosaji
Sawa mkuu ila kwani kufika hadi kidato cha sita sio elimu hiyo ?Mali bila daftari.....
marehemu mengi mwenyew alienda chuo wakina dewji wenyew ndio kabisa sasa wewe komaa hivy hivy
Ni kweli mkuuNi kweli huwa tunasoma ili tupate maisha mazuri, kiasi kwamba tukisoma halafu maisha mazuri yakawa hayaonekani huwa kuna kukata tamaa fulani.Kusoma sio guarantee ya kufanikiwa kimaisha.
Binafsi huwa siufagilii ujinga wa kushauri watu wasisome eti kisa ukisoma sio guarantee ya kufanikiwa kimaisha.
Kiuhalisia bila elimu hakuna maisha mazuri.Bila elimu hakuna walimu,hakuna madaktari,hakuna wanajeshi,hakuna ustaarabu etc.
KamaIgweeeeeeeeeeeeeee
Salamu wana JF wote
Kuna jambo linanitatiza sana kichwani nimeona niwashirikishe na nyie nipate maoni yenu kidogo
Mimi ni kijana mdogo tuu niko bado nahangaika na elimu ya sekondari nipo kidato cha sita.
Nimekuwa nikijitahidi sana kusoma sana (kupiga msuli haswa) kuanzia nipo O level hadi kipindi hichi lakini tatizo ni kwamba sioni kabisa fani ninayotamani kuifanya kupatikana shuleni.
Nikiangalia masomo ninayosoma ni ya sayansi lakini sijioni kabisa kama daktari naona kabisa kutibu mtu kwangu itakuwa kazi sana wala sina moyo wa kuifanya hiyo kazi kabisa
Nina malengo baada ya kumaliza kidato cha sita nifanye mambo mengine lakini sio kuendelea na chuo natamani baada ya kumaliza kidato cha sita 2020 nikajitose kibaharia zaidi mtaani sababu fursa naziona nyingi huku niishipo ( moshi )
Niko njema darasani.
..Tunaishi Mara moja tuu
..Time is too short to take little shots
..mambo ni mengi mda ni mchache
( die trying or get rich )
NB
Naomba maoni yenu wana JF
Kiongozi kwani lazima uendee na pia hayo ni maisha yakoo ,you may have selectionnsIgweeeeeeeeeeeeeee
Salamu wana JF wote
Kuna jambo linanitatiza sana kichwani nimeona niwashirikishe na nyie nipate maoni yenu kidogo
Mimi ni kijana mdogo tuu niko bado nahangaika na elimu ya sekondari nipo kidato cha sita.
Nimekuwa nikijitahidi sana kusoma sana (kupiga msuli haswa) kuanzia nipo O level hadi kipindi hichi lakini tatizo ni kwamba sioni kabisa fani ninayotamani kuifanya kupatikana shuleni.
Nikiangalia masomo ninayosoma ni ya sayansi lakini sijioni kabisa kama daktari naona kabisa kutibu mtu kwangu itakuwa kazi sana wala sina moyo wa kuifanya hiyo kazi kabisa
Nina malengo baada ya kumaliza kidato cha sita nifanye mambo mengine lakini sio kuendelea na chuo natamani baada ya kumaliza kidato cha sita 2020 nikajitose kibaharia zaidi mtaani sababu fursa naziona nyingi huku niishipo ( moshi )
Niko njema darasani.
..Tunaishi Mara moja tuu
..Time is too short to take little shots
..mambo ni mengi mda ni mchache
( die trying or get rich )
NB
Naomba maoni yenu wana JF
Elimu muhimu ni kuanzia msingi hadi form 4 inakufunua mengi sana, huko Form Six na Chuo kwenyewe sina uhakika kama kumenisaidia sanaNina Degree nasioni umuhimu wake niliajiriwa nikaacha now nimejiajiri mwenyewe najuta kwann nilipoteza mda chuoni Elimu ya Tz nikupoteza tu mda haikufanyi uwe na mtazamo wa mbali si umeona unasoma sayansi hata picha huoni zaidi ya kumeza na vilichoachwa na mzungu Karne na Karne siunamuona Bakhresa Hana Degree hata moja ila hakamatiki
Nenda chuoNi kweli mkuu
Lakini hapa najiongelea Mimi kama Mimi
Naomba maoni yako kwangu Mimi juu ya hayo malengo yangu mkuu
Mkuu hilo jina tu..Hoi..??Nenda chuo
Dogo nakushauri ukafanye kitu roho yako,inakipenda, achana na elimu za kukariri..Igweeeeeeeeeeeeeee