Ushauri T.O.T ipewe kipaumbele maana ina mchango mkubwa sana kwenye chama tawala CCM maana ndo band rasmi ya ccm inayopigana kufa na kupona kuwezesha chama kuendelea kushika madaraka kutokana na kampeni na tungo za nyimbo zake ambazo huwa zimebeba ujumbe mkubwa unao stick kwenye vichwa vya wananchi....nakiomba chama kiiendeleze hii band kifedha na kivyombo kuendeleza kazi za chama.
maana hawa wasanii ambao daily kwenye kampeni hutumika na ccm naona kama wanakitia doa cham chetu cha ccm maana wamejaa skendal chafu ambazo zinapokuja kufahamika zinakitia doa chama chetu cha ccm, na kutokana kuwa wamekipigia kampeni chama wanapokuja kuwajibishwa kwa makosa yao wanaona kama wanaonewa na kuamua kuwa ma snitch.
CCM iamuke sasa na kuacha kuwatumia hawa wasanii bali waiezeshe band ya t.o.t maana ndo nguzo muhimu linapokuja swala la kampeni....T.O.T inafanya kazi kubwa sana na impact yake inaonekana.
2020 hatuwataki hawa wasanii n kwanza mchango wao kwenye chama haupo bali huwa wanakiongezea mzigo tu chama cha ccm maana hata izo kampeni hawfanyi bure watupishe ili chama kibaki safi waende uko kwa wapokea magugu maana ndo fichio la mafisad na wauza ngano.