trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Haijajalisha wapinzani wala wa chama tawala!
Haijajalisha wapinzani wala wa chama tawala!
Jee unajua the consequences
bajeti isipopita?!. Leo usiku Party caucus itakaa na kuipitisha kwa
kauli moja!. Huwa wanakaaga tuu na kuamua kutounga mkono hoja, siku ya
kupitisha wataunga mkono hoja!.
P.
Kwa nini isipite? Wanachodai ni ndogo. Sasa hilo ni kosa la waziri au la Serikali? Hiyo inapita tena kiulaini.Hata hiyo bajeti ikiongezwa hizo pesa wanazozipendekeza hazitatatua tatizo la maji. Bajeti inapaswa kuambatana na uwezo wa utekelezaji. Uwezo huo haupo ama pesa hazitatumika au zitaliwa kwa miradi isiyo na tija! Kwangu mimi naona wabunge wanafanya siasa tu kuwaimpress wapiga kura wao.
soma maoni yangu vizuri. naona unasema nisichokipinga mimi. najua itapita.Kwa nini isipite? Wanachodai ni ndogo. Sasa hilo ni kosa la waziri au la Serikali? Hiyo inapita tena kiulaini.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums