Siongozi Genge la wasaka URAIS - Mbowe

Reading between the lines, naona hapa anayepashwa hii mipasho ni Zito Kabwe....Chadema wanaanza kutumia mafuta yao kujikaanga. My take, it was unwise for Mbowe to make such statement for it cements the perception kwamba kuna mgogoro mkubwa Chadema.

This little mind thinking
 
Mtasema yote lakini 2015 Zitto atavunja mwiko wa ukabila.
Viva Zitto
 
TUNTEMEKE ID zako zote 16 zimeunganiswa na Invisible au ameziachia zijitegemee, halafu nashangaa sana wewe unakula na kunya kwa pesa ya Chadema na ni kiongozi wa Chadema ila ukikaa nyuma ya keyboard unakioponda chama chako, kwa watu mbwa kama wewe na Zitto ni heri CCM itawale milele.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SG8

Mkuu,

Ingekuwa busara kumjibu au kumpinga kwa hoja badala ya matusi. Matusi hapa sio mahala pake. Ustaarabu ni kitu cha bure.
 
Mbowe anaongoza genge la wachaga kama Lema,Nassar,Henry kilewo,Deo mushi,mukya,munishi etc ndo maana watu kutoka pande zingine za tz hawakutokea!Zitto hawezi fanya movement for chaga hata siku moja.
Tumia akili hata kama unatumika Tz kuna vyama zaid ya 18 na kila chama kinamwenyekiti anae kiongoza tutajie ww chama gani chenye mafanikio ukiacha cha mabwepande. Je? Cha cheyo? cha mrema? Cha lipumba? Cha mbatia? Au cha mbowe? Acha kumchukia jembe mboe alianza kukiongoza kina wabunge 4 wa kuchaguliwa leo wako zaidi ya 20 kwani wewe umekatazwa hata kuanzisha chama? Mbona cheyo anaongoza chake kama cha familia ila wanafiki wote mmeufyanta? Mchukue zito makaazishe chenu.
 
Mbowe alinifurahisha sana kwa kauli yake hii. Wapo virusi wanadhani Urais unapatikana kwa kutumiwa na CCM. Wenzake wapo busy kujenga Chama wao wanahaingaikia fitna kwa kutengeneza vikundi vidogo vidogo na kueneza propaganda za ukabila
 
Mkuu,

Ingekuwa busara kumjibu au kumpinga kwa hoja badala ya matusi. Matusi hapa sio mahala pake. Ustaarabu ni kitu cha bure.
Badly hulijui ulisemalo na wala humjui TUNTEMEKE zaidi ya kuijuwa hiyo ID tu, mtu ambaye anamiliki ID 16 hapa JF kwa ajili ya kueneza chuki na uchochezi unataka kunishawishi kwamba ana hoja gani? kama ungekuwa unamfahamu huyu ni kiongozi mwandamizi wa Chadema makao makuu ungebaki mdomo wazi na usingethubutu kuandika ulichoandika, hapa tunatunza tu ile kanuni ya JF ya Name Calling.
 
Labda kwa ticket ya chama cha mabwepande au urais wa TFF au wa jumuiya ya watu wanaotoka Kigoma

Wewe na kundi lote la wachaga mliozoea kuwazonga watu msiowataka CDM, kuna taarifa mbaya kwenu kutoka kwa Zitto, ataendelea kuwepo CDM na hamtoweza kumfanya kitu chochote na mwisho wa siku atapeperusha bendera ya CDM kwenye uchaguzi wa rais.
 
Sure jamaaa anabusara sana na mtu anaefaaa kumrithi ni jj mnyika

Very true Mnyika ni kijana aliyepikwa akapikika.Baada ya enzi ya kina Slaa na Mbowe Mnyika ndiye chaguo sahihi.
 
Wewe na kundi lote la wachaga mliozoea kuwazonga watu msiowataka CDM, kuna taarifa mbaya kwenu kutoka kwa Zitto, ataendelea kuwepo CDM na hamtoweza kumfanya kitu chochote na mwisho wa siku atapeperusha bendera ya CDM kwenye uchaguzi wa rais.

Msiba=Tuntemeke
 
Mbowe alinifurahisha sana kwa kauli yake hii. Wapo virusi wanadhani Urais unapatikana kwa kutumiwa na CCM. Wenzake wapo busy kujenga Chama wao wanahaingaikia fitna kwa kutengeneza vikundi vidogo vidogo na kueneza propaganda za ukabila

Mkuu wangu Mbowe ni Kamanda mpiganaji mwenye vigezo vyote vya kuwa kiongozi na si hawa wasaka madaraka
 
TUNTEMEKE ID zako zote 16 zimeunganiswa na Invisible au ameziachia zijitegemee, halafu nashangaa sana wewe unakula na kunya kwa pesa ya Chadema na ni kiongozi wa Chadema ila ukikaa nyuma ya keyboard unakioponda chama chako, kwa watu mbwa kama wewe na Zitto ni heri CCM itawale milele.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-23.html#post4413384
 
Last edited by a moderator:
Reading between the lines, naona hapa anayepashwa hii mipasho ni Zito Kabwe....Chadema wanaanza kutumia mafuta yao kujikaanga. My take, it was unwise for Mbowe to make such statement for it cements the perception kwamba kuna mgogoro mkubwa Chadema.

bila shaka we ni mgonjwa
 
Hii nchi ni laini kama maini "Joshua Nassari"

liwalo na liwe- pinda 0 sijui kwa nini watanzani ni maskini- jk
Ambaye ataki kulipia nauli ya kivuko apige mbizi-Magufuli
 
Mkuu wangu Mbowe ni Kamanda mpiganaji mwenye vigezo vyote vya kuwa kiongozi na si hawa wasaka madaraka
Mkuu usipate shaka, nina experience ya kutosha sana kuhusu Chadema hasa ya viongozi watatu wa juu (Mbowe, Slaa na Zitto) so sina shaka na utendaji wa Mbowe. Watu wana hangaika na mambo ambayo hawayawezi. Commitment ya Mbowe kuhusu Chadema si ya kutiliwa shaka hata kidogo. Watu hawajui kuwa ukitaka kuua Chadema wagombanishe Slaa na Mbowe (which is quiet impossible) na sio huyu mwingine anayehangaikia na Urais wakati hana uhakika wa kutetea hata Jimbo lake tu 2015. Big up Kamanda wa anga
 
Badly hulijui ulisemalo na wala humjui TUNTEMEKE zaidi ya kuijuwa hiyo ID tu, mtu ambaye anamiliki ID 16 hapa JF kwa ajili ya kueneza chuki na uchochezi unataka kunishawishi kwamba ana hoja gani? kama ungekuwa unamfahamu huyu ni kiongozi mwandamizi wa Chadema makao makuu ungebaki mdomo wazi na usingethubutu kuandika ulichoandika, hapa tunatunza tu ile kanuni ya JF ya Name Calling.

kweli kabisa na ananyingine ana share na mkewe anajiita Genda
 
Wewe na kundi lote la wachaga mliozoea kuwazonga watu msiowataka CDM, kuna taarifa mbaya kwenu kutoka kwa Zitto, ataendelea kuwepo CDM na hamtoweza kumfanya kitu chochote na mwisho wa siku atapeperusha bendera ya CDM kwenye uchaguzi wa rais.
Jimboni kwake tu hali mbaya itakuwa kutawala nchi nzima? Huyu jamaa yako anafanya atishia kwenye "tragedy of miscalculations" na kusahaulika Tanzania ndani ya miaka miwili ijayo.Labda kama atapeperusha bendera kupitia LEKA TUTIGITE.
 
Back
Top Bottom