siogopi ban zinazo tolewa na watu wanao kesha kwenye laptop

Kwa mfano ndo umwambie hivyo Paw baada ya kukupa onyo. unafikiri ni nini kitatokea? au unafikiri ni vipi utakuwa umehatarisha id yako?. kwa hiyo tuseme mimi wana niogopa au hapa ndo nmejileta machioni tayari kwa kuchinjwa. hata siogopi. ngoja nisubili ban sijui itakuwa ya siku ngapi. nina hamu kweli. Mia

kwan umewafanyaje wana jf?
 
Haya, msiba uishe kwanza, I will be right here to watch you stutter again!

hapa kinacho hitajika ni kukubali tu. huyu kaka angu ndo ametoka ban so anatakiwa kupata majibu mazuri ya kumpunguzia stress. Mia
 
Mi mbona sijaanza hata kumringia? Namkaribisha ila yeye mara anataka bia, mara anaenda kwanza msibani...:bored:

ndo kakuomba umjibu hivyo hivyo mbele ya mashahidi ili usije mkana. bila shaka ombi lake umekubali. asante sana. Mia
 
Ban ban ban ban ban...

hahahaahahaaa...!!!. wewe hamna kitu, juzi faizafoxy alikupiga biti ukanywea. mimi ningekuwa wewe ningempiga ban ya miezi mitatu na akitoka huko anakuja kuomba msamaha members kwa kuwakwaza. mtu akikukanyaga bahati mbaya humlipui wala nini. hahaa....!!. Mia
 
Mmmh........!

mkuu umeona anavyo kuchokoza eeh!?. mlipue makusudi mguu usimuogope. nataka ajue kama upo. unajua mkuu, wengine hawaamin kama wewe ni mod wanakuchukulia kama mtoto wa invisible kama alivyo liz1 tanzania. Mia
 
Bado niko kwenye harakati za kumtambua aliyenipiga ban nikaacha kusheherekea mwaka wangu wa nne JF, sitaki kumhisi mod yeyote lakini kwa suala la kuwa na mod asiyejua kiswahili basi nadhani huyu Fang ndo kanilipua makusudi, nilimjibu mtu mod akadhani nimetukana. Najua mod anayejua kiswahili kama Paw nisingepata hata onyo
 
Bado niko kwenye harakati za kumtambua aliyenipiga ban nikaacha kusheherekea mwaka wangu wa nne JF, sitaki kumhisi mod yeyote lakini kwa suala la kuwa na mod asiyejua kiswahili basi nadhani huyu Fang ndo kanilipua makusudi, nilimjibu mtu mod akadhani nimetukana. Najua mod anayejua kiswahili kama Paw nisingepata hata onyo

hahahaaaa....!!!. hata wewe alikufanyizia?. siku zote fang hataki mchezo. unamkanyaga bahati mbaya anakulipua makusudi. lakini kama vipi mumsamehe best. Mia
 
Kuna mmoja anaitwa sailensa, mwaka huu lazima nimwendee kwa Faiza Foxy tukamsomee albadili

mimi kuna yule anajiita snail sipendi id yake kama nini. kila siku namupm abadilishe id yake kanigomea. lakini dawa yake yoyo. nasubili amalize kifungo. Mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom