Siogei tena vile visabuni vya gesti

Mwambie ulijiharishia so ukaomba kujisitiri kwa kuoga kwenye gest ya karibu...
 
Zile unaoshea Pu*m*b*u tu unaogea maji baridi bila kujipaka sabuni.
 
usinikose hiyo harusi na mchango mkubwa sana nitatoa nakushiriki maana huwaga nafurahi sana kuona michango yako ya ajabu hapajf
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nakusave kwenye file ukifika muda nitakupa taarifa mkuu
 
Nyie mmekutana ngoma droo, sema tu mwenzio mjanja
 
Mkeo ni expert kwenye maswala ya gest
 
Hii stori ya kutunga kama siyo ujue na mkeo huwa anaogea hizo sabuni huko gesti yeye alijuaje kuwa ni harufu ya sabuni ya gest?
 
Sio suluhisho hilo mkuu, ungesema kuanzia Leo unaacha na mambo ya kutoka nje ya ndoa, Leo umevaa sabuni kesho utavaa magonjwa
 
Visabuni visumbufu sana hivyo, havishikiki vzr mkononi...vinateleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…