Atakuwa ni mtu mzima, si hapo kuna sehemu amesema "AMEPIGWA NA MKE WAKE"December,Shule zimefugwa
Ushauri murua kwa wazinziBora uwe waenda na sabuni yako
[emoji3][emoji3]Ushauri murua kwa wazinzi
yaani zero iq mpaka jina la sabuni unalijua hivi una umri gani iq??Ulikitumia kile kisabuni cha eva sijui aiseee gest za bongo bado sana vitu vyote viko updated lakini sabuni ya eva bado iko vile vile na kiarufu chake
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]yaani zero iq mpaka jina la sabuni unalijua hivi una umri gani iq??
Mwambie aende na kile kisabuni cha magadi?Bora uwe waenda na sabuni yako
nakushauri acha kwenda gest sasa uoe tuNakaribia kuzeeka mkuu
Haha kimagadi bado kitatoa harufuMwambie aende na kile kisabuni cha magadi?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]