Haaaaaaaaaaaaaa du kuna ukweli ndani yake kidogo kwamba hizi ni namba tu na ndoo maana ukifungiwa kwenye chumba chenye giza kwa siku tano then ukatolewa halafu ukaambiwa leo tarehe ngapi hauwezi jua,ndo maana watu wanasahau tarehe wangekuwa wanaona mwezi na tarehe wasinge sahau kwahyo kusema umeuona mwaka mpya ni makosa