Ndugu zangu suala la ndoa ni jambo kubwa sana tafauti na tunavolifkiria, kwa iyo tunapotaka kulingia lazima tuwe sirius, huwezi kuwa wewe una mila zako, ukataka kumuowa ambae mila zako kwake ni matusi, kwa mfano utamkuta mchaga anataka akamuowe au aolewa na mpemba, sote tunajua kama mila za mpemba na mchaga ni tofauti, kwa mpemba mke zaidi ya mmoja ni jambo la kawaida, jiuleze we mchaga uke wenza utauweza?
Mpemba unaetaka kuolewa na mchaga, mchaga au watanganyika walio wengi mtoto wa nje ya ndoa wanamuhesabu ni mtoto wao ana haki zote sawa na wandani ya ndoa je we mpemba hayo utayaweza?
Je we mpemba unaetaka kuoa au kuolewa na mrangi upo tayari mabinti zako waje wakeketwe? baadhi ya makabila ya Tanganyika ukipeleka barua na 15elf tu unaweza kuchukua mwari ata bada ya miaka mia shida muwe hai tu mnahesabiwa ni mke na mume hata hamjaozeshwa.
Mpemba unaetaka kumuowa binti wa kimakonde utakuja weza binti yako ajeakae na mwaname waish km mume na mke bila ya ndowa? mwisho tuangalie hata mavazi yetu yanaendana baina ya kabila linalotaka kuoa na linalotaka kuolewa?
Je mapishi yanendana urojo na mtori? Nimeandika hii, kwa sababu kuna mchaga mmoja kaenda kuposa kwa mpemba pale Ilala mtaa wa Arusha, baba mkwe mtarajiwa(mpemba) kafunga mtaa kaeka na turubali kaeka msiba eti nuksi imeingia kwenye familia yake coz kuna mchaga kaenda kuposa/kumchumbia binti yake, sasa huu si ubaguzi mila za wachaga na wapemba ni tofauti, lazima watakuja kusumbuwana tu kwenye ndoa.