Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,286 Reaction score 13,460 Dec 5, 2018 #1 Unamuangalia mwenzio kama mnyama kisa tu unajifanya wewe mtetezi wakat kuna jirani yako mtoto wake kafukuzwa shule yuko nyumban tu, Kuna ombaomba wamekuzunguka lakn hujawahi kuwasaidia
Unamuangalia mwenzio kama mnyama kisa tu unajifanya wewe mtetezi wakat kuna jirani yako mtoto wake kafukuzwa shule yuko nyumban tu, Kuna ombaomba wamekuzunguka lakn hujawahi kuwasaidia
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,741 Reaction score 25,681 Dec 5, 2018 #2 Jamaa anaonekana ana hasira
Awuot JF-Expert Member Joined Nov 10, 2018 Posts 1,172 Reaction score 1,407 Dec 5, 2018 #4 Hapo watakua walikua kwenye msiba wa mwananchi aliyeuwawa na tembo kwenye mbuga ya Serengeti
Capitano JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 1,959 Reaction score 1,635 Dec 6, 2018 #5 Huo ni uangaliaji wa jiwe. Na hata mawaziri wengi wapo hivi siku hizi hata wakiwa wanaongelea jambo lashangwe ni ndita kwa kwenda mbereeeee
Huo ni uangaliaji wa jiwe. Na hata mawaziri wengi wapo hivi siku hizi hata wakiwa wanaongelea jambo lashangwe ni ndita kwa kwenda mbereeeee
Mandingo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 5,964 Reaction score 7,862 Dec 6, 2018 #6 Safi sana ukiliona liccm uso wa mbuzi tu!
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,301 Reaction score 40,930 Dec 7, 2018 #7 Lazima atakuwa anasifia sifia hapo kwa mfalme wa songai empire Osei Tutu
Escaper JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 1,780 Reaction score 3,241 Dec 7, 2018 #8 Wakurya hatujaumbiwa kuramba lips kama vijana wa huko Kinondoni.
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Dec 8, 2018 #9 Dah!!!
Two dimension array JF-Expert Member Joined Jul 25, 2018 Posts 1,591 Reaction score 2,383 Dec 8, 2018 #10 Escaper said: Wakurya hatujaumbiwa kuramba lips kama vijana wa huko Kinondoni. Click to expand... Dah
Escaper said: Wakurya hatujaumbiwa kuramba lips kama vijana wa huko Kinondoni. Click to expand... Dah