Voice of Wisdom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 537
- 240
Kwa Hisani ya MIsupu
Cheki hapo chini SIoi anavyokubalika kwa waarumeru
Lakini yote kwa yote katibu mwenezi Nape nauye kakimbilia Dar
Hii imetuuma sisi vijana tupendao mabadiliko kuona kijana mwenzetu tuliye mtegemea
anakimbilia dar akifanya siasa kwenye vyombo vya habari badala ya kwenda arumeru
Ngoma nzito Arumeru kati ya CCM na chadema. Ushindi hautabiriki.
Tumeona picha za ushindi CCM na tumeona picha za ushindi chadema.
Mbinu za mwisho lalala salama zina nafasi za kukipa ushindi chama kitakachokubarika kwa wananchi wa Arumeru

Ushindi kwa CCM lazima, Tanzania bado hamna upinzani! Labda mpaka hapo Zito atakapokuwa rais..teh teh teh:becky:
Ushindi kwa CCM lazima, Tanzania bado hamna upinzani! Labda mpaka hapo Zito atakapokuwa rais..teh teh teh:becky:
Tumpe sifa yake...jamaa hana papara kabisa!!
Kweli ze komedi kiboko....Kwa Hisani ya MIsupu
Cheki hapo chini SIoi anavyokubalika kwa waarumeru
Lakini yote kwa yote katibu mwenezi Nape nauye kakimbilia Dar
Hii imetuuma sisi vijana tupendao mabadiliko kuona kijana mwenzetu tuliye mtegemea
anakimbilia dar akifanya siasa kwenye vyombo vya habari badala ya kwenda arumeru
Maisha ni kupanga na kuchagua, as long as anakuwa satisfied hamna tatizo!!hizi ndizo ajira zilizo tangazwa na ccm. bado ujinga wa mtanzania unafanywa mtaji kwa ccm. hicho kijiwe cha huyo mama hakizidi elfu tatu.
Bora sisi tunaocheka....kuliko nyie mnaolia muda wote ...CCM mnajitekenya wenyewe alafu mnacheka wenyewe.
CCM tumeshazoea kushinda....huo msamiati KUSHINDWA hatunao kabisa!!!Mkuu acha kutema Pumba!! Yaani Lazima mnajipigia wenyewe kura au Mtaiba?? Fafanua basi mkuu!!
Kuwa mstaarabu...ukitaka tuanze kuwaongelea viongozi wa CDM na tabia yao hii thread haitatosha!Tangu lini mtoto siyo riziki akaongea kwa papara? Nyambafff.....
View attachment 50283
Jionee Sioi anavyokubalika.....
CCM inachofanya ni kukuandalia mazingira mazuri, wewe ufanye uwezalo kujikwamua! ndiyo maana huyu mama anaridhika na anachokipata, amani ndio msingi wa maendeleo. Watu wengi sana wameanzia huku na sasa ni mamilionea, mfano rahisi ni ndugu zangu wachaga!Kuna rafiki yangu kanitumia katuni ya kipanya leo! Nimecheka sana!! Ametofautisha watu na wafu!! Of course watu ni kama mimi na wewe, ila wafu akasema ni watu ambao wanaweza kulipia hata pumzi yao kama sirikali ikiwataka wafanye hivyo! Akaongeza kuwa wafu ni kama mabehewa, wanafuata kichwa kinapokwenda!! Wanapiga kura kwa mazoea!!
Rejao, nadhani umenielewa.... No offence lakini, ila mama huyu anaweza kuwa ana-fall ndani ya mfano wa kipanya!!
kwa hakika mtu mdadidisi na mwenye kujua anachoshabikia akipambanua hiyo picha atabaini kuwa Robo ya watu hao ndiyo wenye sifa ya kuwa wapiga kura wa taifa hili. Wengine na wapiga kura tarajiwa kwa mwaka 2015 au 2020. Hivyo basi nii vema ushabiki ukaendana na hali halisi na mazingira yenyewe. Na walio na sifa ya kupiga kura hapo wanaoonekana ni akina mama ambao kwa upendo wao wameamua kuja kujitokeza kuwapa CCM matumaini ilhali siku ya kupiga kura watakayemchagua wanamjua. Wamechoshwa na siasa uchwara kwa miaka mingi.Kwa Hisani ya MIsupu
Cheki hapo chini SIoi anavyokubalika kwa waarumeru
Lakini yote kwa yote katibu mwenezi Nape nauye kakimbilia Dar
Hii imetuuma sisi vijana tupendao mabadiliko kuona kijana mwenzetu tuliye mtegemea
anakimbilia dar akifanya siasa kwenye vyombo vya habari badala ya kwenda arumeru
Mkuu there is one thing you have to know.... Wenye Jezy wameshajicommit, wenye kushangilia is Ajabu hata kura hawapigi..Nusu ya walio hapo ni CDM, na mbaya zaidi huweziwajua maana wanavaa hizo dekio za ccm kama wana-GAMBAZ wengineo, na walishauriwa na Mbowe kuwa wakiletewa wazivae kama kawa, lakini SIRI YAO WAITUNZE MOYONI.
KULA CCM, kura cdm!
Ukitaka kujua vyema hilo, soma tukio la jana la Helikopta pale MAJIYACHAI, kundi lote lililokuwa KWENYE MKUTANO WA GAMBAZ walionyesha alama ya V baada ya kupita helikopta ya cdm!.. ha ha haaaa!
sAFARI HII IMEBANA KWENU!
CCM inachofanya ni kukuandalia mazingira mazuri, wewe ufanye uwezalo kujikwamua! ndiyo maana huyu mama anaridhika na anachokipata, amani ndio msingi wa maendeleo. Watu wengi sana wameanzia huku na sasa ni mamilionea, mfano rahisi ni ndugu zangu wachaga!
Hawa ndugu zetu CDM wanachofanya ni kuleta vurugu, ukiangalia Arusha mjini hapakaliki, Mwanza hapakaliki, Mbeya na iringa hali ni mbaya kabisa. Hii ni kwa sababu tu ya sumu ya chuki inayomwagwa na hawa wapinzani waliopata kibahati bahati ubunge kwenye hayo majimbo!