Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Hali zenyu bhana! Hope hamjambo wanajamii wenzangu. mimi ni ke nina b/f wangu yupo mkoani. To be honestly ninampenda jamani. Tatizo ni kwamba yeye haoneshi kama ananipenda. Naweza m-call hata cku tatu mfululizo yeye wala hata hastuki akacall back, najikaza ili aanze lakini najikuta tu mi ndo naanza kumpigia ili tu roho yangu iridhike, nashindwa kujicontrol.. sms ndo kwanza mpaka nimuulize umepata sms yangu ndo anakujibu, TENA jibu lenye la kawaida sana kama anamjibi man mwenzie. NATAMANI KUSIKIA I LOVE, NATAMANI KUSIKIA I MISS U, NATAMANI MANENO MATAMU YA KIMAPENZI TOKA KWA MTU NINAYEMPENDA. lakini siyapati naumia natamani kuachana naye ila roho yangu bado inampenda kwa kweli. Me binafsi napenda sana kuchat, kuongea hasa nyakati za ucku ukizingatia tupo mbali walau tupeane pole, tuambiane maneno matamu matamu ila yeye mkavu sana katika maongezi cjui hani-feel??? Tena ndio huwa wa kwanza kuaga utadhani kapiga yeye. Nashindwa kupata jibu yuko upande gani, nikijaribu kuumuuliza anasema yuko sawa. Mara nyingi hana story jamani nifanyeje........ naumia kwa kweli........
Erokamano nyathiwa!Mos ahinya nyakwar atony. Nyasaye biro guedhi Jaber iyud wuoyi moeri.
hapo naona ni interest tu zinatofautiana, but inawezekana anakupenda sana tu, siyo watu wengi wanaopenda kuchati na kupiga cm but inawezekana anaupendo wa kweli kwako!
may be... but nimevumilia huu ni mwaka wa pili ila naumia tu rohoni dah... mwisho uvumilivu utanishinda
Erokamano nyathiwa!
Erokamano nyathiwa!
mapenzi tek
ndo nini hiki translate for me please...
ukiona manyoya ujue keshaliwa.........
Of cos ndivyo alivyo, ukimsema cku mbili atabadilika ila zinazofatia anarudi msari ule ule.... Dah yan nahisi kuchoka et. Tena nikiona wenzangu the way wanavyokuwa treated na bf zao ndo kabisaaaa natamani na wangu anitreat hivo ila hawezi....Mwanzo alikuwaje? Je, hayo unayaona tangu mwanzo au tangu aende huko aliko? Sasa, Muendee ghafla huko aliko kama yuko wa kawaida ongea naye umuulize kwanini response yake iko hivyo!!! Kama kuna mwingine utajua tu ukifika huko, ila uwe makini
jamani wee yan ndo unazidi kupigilia msumari katika kidonda Aiiiiiiiiiiiiii!
Hali zenyu bhana! Hope hamjambo wanajamii wenzangu. mimi ni ke nina b/f wangu yupo mkoani. To be honestly ninampenda jamani. Tatizo ni kwamba yeye haoneshi kama ananipenda. Naweza m-call hata cku tatu mfululizo yeye wala hata hastuki akacall back, najikaza ili aanze lakini najikuta tu mi ndo naanza kumpigia ili tu roho yangu iridhike, nashindwa kujicontrol.. sms ndo kwanza mpaka nimuulize umepata sms yangu ndo anakujibu, TENA jibu lenye la kawaida sana kama anamjibi man mwenzie. NATAMANI KUSIKIA I LOVE, NATAMANI KUSIKIA I MISS U, NATAMANI MANENO MATAMU YA KIMAPENZI TOKA KWA MTU NINAYEMPENDA. lakini siyapati naumia natamani kuachana naye ila roho yangu bado inampenda kwa kweli. Me binafsi napenda sana kuchat, kuongea hasa nyakati za ucku ukizingatia tupo mbali walau tupeane pole, tuambiane maneno matamu matamu ila yeye mkavu sana katika maongezi cjui hani-feel??? Tena ndio huwa wa kwanza kuaga utadhani kapiga yeye. Nashindwa kupata jibu yuko upande gani, nikijaribu kuumuuliza anasema yuko sawa. Mara nyingi hana story jamani nifanyeje........ naumia kwa kweli........
Mpige surprise visit, utajua mawazo yote.
Samahani kama nitakukwaza...Hali zenyu bhana! Hope hamjambo wanajamii wenzangu. mimi ni ke nina b/f wangu yupo mkoani. To be honestly ninampenda jamani. Tatizo ni kwamba yeye haoneshi kama ananipenda. Naweza m-call hata cku tatu mfululizo yeye wala hata hastuki akacall back, najikaza ili aanze lakini najikuta tu mi ndo naanza kumpigia ili tu roho yangu iridhike, nashindwa kujicontrol.. sms ndo kwanza mpaka nimuulize umepata sms yangu ndo anakujibu, TENA jibu lenye la kawaida sana kama anamjibi man mwenzie. NATAMANI KUSIKIA I LOVE, NATAMANI KUSIKIA I MISS U, NATAMANI MANENO MATAMU YA KIMAPENZI TOKA KWA MTU NINAYEMPENDA. lakini siyapati naumia natamani kuachana naye ila roho yangu bado inampenda kwa kweli. Me binafsi napenda sana kuchat, kuongea hasa nyakati za ucku ukizingatia tupo mbali walau tupeane pole, tuambiane maneno matamu matamu ila yeye mkavu sana katika maongezi cjui hani-feel??? Tena ndio huwa wa kwanza kuaga utadhani kapiga yeye. Nashindwa kupata jibu yuko upande gani, nikijaribu kuumuuliza anasema yuko sawa. Mara nyingi hana story jamani nifanyeje........ naumia kwa kweli........